Oyaaa ' umeongea kitu ambacho kama ungeendelea ingekuwa somo kubwa sana ' next time make the perfect statement huku ukigusa mioyo ya watu 🙏
2026-09-16 08:15:03
25
Madobe son :
wapi upo kesho nije nkuchukue
2026-09-16 13:39:12
9
sk tz :
sasa ndo umtangaze
2026-09-16 17:01:48
2
Maryam classic :
Jamani huyo baba wa kwanza nilishawahi panda bajaji yake jamani customer care ni10/10 Mashallah
2026-09-16 09:21:55
14
tunu_babyshop &maternity_mbeya :
Mungu akubariki mno🙏🙏🙏
2026-09-16 13:23:08
1
queen_vaileth :
Safiiiiii
2026-09-16 08:00:13
4
delight 🌱 :
umefanya vizur Kuna madereva Wana dharau matus majibu nyie hapNa
2026-09-16 09:33:07
3
Queen store28 :
kunao wengine wanakuja wamenuna
2026-09-16 09:45:46
3
Sylivian Massawe :
Baba angu mungu akulinde tuuu
2026-09-17 06:07:52
2
Olly_storetz :
🥰🥰🥰 ubarikiwe
2026-09-16 07:23:08
5
0123 :
Kuna bolt mungu wangu achaaaa👌
2026-09-16 15:30:32
3
zuuh :
mm napenda nikienda dukan au sehem yoyot anihudumie vzr yn napenda sana najihc aman atakm sinakitu cha kununua ata km kuuliz bei tu huw napend mtu awe mkarim na mteja jmn
2026-09-16 09:43:42
2
joznie :
umri unatune tabia automatically mi nlipokua na 20 nlikua mbabe Sana Ila sahv na above 30 sipend vurugu kabisaa na Aina MdA WA kuzulula bila sababu