@bbcnewsswahili: Mwenyekiti wa kitaifa wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA Tundu Lissu ameteuliwa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya Umoja wa Ulaya ya uhuru wa mawazo. - Tuzo hiyo ya uhuru wa mawazo ilitolewa kwa mara ya kwanza mwaka 1988 kwa aliyekuwa rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini hayati Nelson Mandela. - - - #bbcswahili #tanzaniantiktok🇹🇿 #chadema #tundulissu #foryou

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 07:21:35 GMT
31421
2451
87
50

Music

Download

Comments

tuntu.migunda
Tuntu Migunda :
he is king
2026-09-16 07:58:39
29
freeway_255
freeway_tz :
Lissu ni mwana harakati sio mwana siasa tu🔥🔥🔥
2026-09-16 08:29:10
23
gkagwe
Patrick phill :
win it rissu
2026-09-16 16:28:19
0
michael.kweka7
michael kweka :
hongera sana tundu lisu
2026-09-16 09:21:48
1
jameel.lv
🇫🇷 :
first one
2026-09-16 07:26:17
0
japhethmihambo448
AFRICA LIBERATION 🙏🏿 :
#FREETUNDULISSUNOBELWINNER👏🏿👏🏿👏🏿🇹🇿✌🏿🫶🏿
2026-09-16 13:16:03
4
marcelohijaibrahim
Marcelo Hija :
#JUSTICEFORLISSU
2026-09-16 14:38:47
0
user434584871484690
user434584871484690 :
Yupo peke yake laki serikali ya mauaji haina amani japokua wao wapo huru na kuendelea kujilimbikizia pesa za wananchi
2026-09-16 08:23:40
13
gasparkisinza
GASPER KISINZA :
Thanks God
2026-09-16 09:38:18
5
jaxcmv7
Jackson J. Marko :
Kwahyo akishinda hyo tuzo serikali itampeleka kuchukua???
2026-09-16 09:00:43
2
hamisimpepo
Hamisi Mpepo :
hongera sana mueshimiwa lishu
2026-09-16 08:01:10
12
bonifasremmy
MCHAFU LB :
power1
2026-09-16 07:33:07
1
user891954847
user891954847 :
apewe tu Kwa kweli hili ni jabali la democlasia
2026-09-16 09:51:58
4
maumau.march.mwan
Maumau march Mwana wa adamu :
lissu ni mmoja tu
2026-09-16 08:09:54
8
imeldasylvester6
Imelda Sylvester :
Apewe anahaki ya kupewa hiyo tuzo hongera sana mh lisu mungu akutangulie baba
2026-09-16 12:18:41
3
nyangulu47
nyangul47🫡 :
✌️
2026-09-16 07:47:09
2
rhoda6417
Rhoda. :
kweli ipo wazi.
2026-09-16 08:04:50
1
leoniapstuut
Saidi Omary :
kweli
2026-09-16 08:22:44
1
mdach185
MDACH ✅ :
💪
2026-09-16 08:29:25
1
nkinga.boy
nkinga Boy :
anasitaili kabisa
2026-09-16 15:24:24
0
popote863
popote8 :
sioni comment za wana ccm 🤣🤣
2026-09-16 16:47:25
0
sarunisamson915
Heaven Gate Keeper :
He deserves
2026-09-16 16:38:52
0
honoratha.swai
mazombi :
hongera sana lissu
2026-09-16 16:17:25
1
edinamhando0
user35780877815680 :
mungu amlinde lissu
2026-09-16 17:54:22
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About