@abdulraven: Hii Hapa video Iliyosababisha Bi Kauye kufungiwaa na Bodi ya Filamu Tanzaniaaa#tiktoktanzania #tiktokkenya #dullahmastory #foryou #swahilitiktok
jmn mbn Mimi cyaskiii hayo maneno yaliomfunga 🥺🫴🏻...
2026-09-17 06:33:04
1
MamG :
mmmmmh
2026-09-16 13:47:14
0
Dj werema :
:Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake.🥲
2026-09-16 19:43:12
6
🦋sismaia🦋 :
WATU MNA DHAMBI SANA
2026-09-17 04:07:23
1
Chimina :
Subhanallah! Yarabi stara
2026-09-16 19:42:44
2
ughti yuuh :
utani gani huu😂😂
2026-09-16 10:42:03
4
husseinjsilas :
kaishika
2026-09-16 20:46:33
2
user4590034068867 :
ukisikiliza vizuri ilikuwa utani tu
2026-09-16 10:39:42
5
Jescar Raphael :
kwel sio kila anaezeeka anabusara
2026-09-16 18:23:26
2
ligwa boy TZ :
Utaniiii gani huu
2026-09-16 18:07:57
1
It’s Muuh🌼🌺 :
Ila utu bibi farida ni mwanae nini mbona wamefanana sana
2026-09-16 18:27:37
1
rehemajohnsambula :
aibu naona mm
2026-09-16 18:40:43
1
@damtronic sound &CCTv officia :
nawaona tu
2026-09-16 11:48:13
1
Petro Kindole :
hii ni moja ya dunia kuhalibika kwan hamjui kwishaa tunaisha jaman
2026-09-17 05:28:25
0
NGIDO DEFAO :
jmn si wanaigiza au 😅
2026-09-17 03:23:16
0
Mrs R, :
hem mpe anacho taka kesi ishee vile😱
2026-09-16 18:32:22
0
davidnuhu :
ndio mjue BONGO movie hazina maadili , turudi enzi nza nyuma tuache kuharibu jamii kwa kulisha vitu vya hovyo😥😭
2026-09-16 13:47:07
1
Mwanza Distributors :
hahahaah
2026-09-16 22:55:42
0
nicki katoto :
mambo hayo
2026-09-16 15:11:42
1
mtengwa wa kitaa :
kwn n vby kuishika
2026-09-17 02:58:12
0
Salma :
Jmn kwann huyu kaka amfanyie hivy bibi wawatu
2026-09-17 00:31:18
0
EymonBanKs :
Kwani haya maneno ni mageni mjini!!
2026-09-17 05:26:05
0
To see more videos from user @abdulraven, please go to the Tikwm
homepage.