Mbn hujatuambia kama pia ni camera ya nyuma ndo ina quality mkuu
2026-09-16 09:50:08
10
EYNNOUR STUDIOS :
Unarecord video na dolby gani eti mkuu🤣
2026-09-19 20:58:01
0
Medy junior005 :
unaring sana hujibu dm
2026-09-16 10:50:58
0
KENNY :
oppo find x8 🤘
pamoja broo wa iphone na samsung hawatuwezi
2026-09-16 10:06:14
2
Shadzilla🦖 :
Dolby atmos for video quality!!!😳bro acha bas
2026-09-16 16:49:22
3
MTOT𝐨⃠ BUSINGE ☠︎✟ 😈🎮 :
mhhh em nielekeze
2026-09-16 08:14:49
2
ezzy41 :
peak quality
2026-09-16 08:14:33
1
brayoo👑 :
bro ur my role model
2026-09-16 08:15:00
2
️ :
Sema tu ukweli unatumia TOPAZ AI😂
2026-09-16 14:12:53
6
🥷🏾Kanali⁶⁴ :
2026-09-17 22:15:40
0
abdizo 🥶🥶 :
watu wanaanza kucomment kabla ya kulike duuu😀😀
2026-09-16 08:15:01
3
001 :
hii video Haina quality kwangu kwasababu natumia Tekno oky, lakini pia hii video inaganda kwasababu ninatumia mtandao wa HALOTEL thats all nawakubali sana 😡
2026-09-17 15:13:48
0
Al habiby boy01 :
Mbona huku nimedownload imeimgia kwa mb 100 na nimeuliza kwanini chatgpt alivyoina akanijibu ni skin care tu kama hujijali hujijali wewe tu 🥺😂😂😂 😂😂😂ayyi mimi
2026-09-17 22:01:03
0
Austin Lugenge :
😂😂😂😂😂nasubiri
2026-09-19 07:39:25
0
Ja Rule :
Inaganda ganda
2026-09-17 13:42:00
0
Diraxenz.ftb🇹🇿 :
2026-09-16 09:15:57
0
⭐🅳🅰🅺🅸🅻🅰 🆃🆅⭐ :
sasa sauti na quality vinaingilian vipi
2026-09-17 12:20:47
0
BORN KITENGO :
Unatumia nini ku record
2026-09-17 11:52:38
0
EMMOTY Z :
naangalia video za mkuu wangu kwa kusubilia iganduke ndo niendelee kumwelewa anaongelea nn😂😂😂😂
2026-09-21 15:55:03
0
khan007 :
dolby ipi mkuu
2026-09-20 10:41:34
0
(^_^)₩izzylunya(^o^) :
iyo Dolby inakuwa file la camera
2026-09-17 12:37:23
0
Exluu :
Dolby Atmos ni Audio tech🌝
2026-09-17 13:26:52
0
unknown person :
huu uhalisia mpaka utasema
2026-09-16 09:18:38
0
To see more videos from user @iam_hasheem, please go to the Tikwm
homepage.