@.tomyboi: Mr America // Patrick Bateman edit // scp / me // cc / me // #patrickbateman #christianbale #christianbaleedit #americanpsychoedits #foryoupage❤️❤️

Tommy
Tommy
Open In TikTok:
Region: GB
Wednesday 16 September 2026 08:19:38 GMT
1915
230
45
76

Music

Download

Comments

black_symbiote_
Houssein :
bro tagged his whole bloodline ✌️
2026-09-16 09:15:15
1
.jlvnt7v
𝙹𝚕𝚟𝚗𝚝𝟽𝚟 :
So peak unc
2026-09-16 20:26:16
2
lumirith
LUMI :
BATMAN IS TRIPPINGG (amazing edit btw Tomyy!)
2026-09-16 19:12:38
2
spicy.ae2
Spicy :
Absolute peak bro🔥
2026-09-16 09:29:36
3
mia.kalogerasx
𝑴𝑰𝑨★ :
you cooked
2026-09-16 11:30:56
2
fwdoji
Døji™ :
Peak Tomy
2026-09-16 17:16:47
2
imago.alt
imago.alt :
Holy peak bro
2026-09-16 18:32:33
2
_infinity.films_
Infinity :
Peak as always Tomy
2026-09-16 09:22:17
3
twdedixt
Twdedixt :
Peakkk
2026-09-16 10:54:01
2
mia.kalogerasx
𝑴𝑰𝑨★ :
you’re literally perfect
2026-09-16 11:30:51
2
spicy.ae2
Spicy :
Tomy boiii
2026-09-16 09:29:45
3
mia.kalogerasx
𝑴𝑰𝑨★ :
obsessed with this
2026-09-16 11:31:01
2
mia.kalogerasx
𝑴𝑰𝑨★ :
TOO GOOD
2026-09-16 11:30:54
2
mia.kalogerasx
𝑴𝑰𝑨★ :
actually ate
2026-09-16 11:30:59
2
mia.kalogerasx
𝑴𝑰𝑨★ :
THE TALENT
2026-09-16 11:31:03
2
jason_666_666
👑⛓️🩸JASON🩸⛓️👑 :
Mega algorithm my goat I reposting your edits🫡💘🛡🙌🔥
2026-09-16 20:18:16
4
.tomyboi
Tommy :
@imago.alt
2026-09-16 08:22:53
0
.tomyboi
Tommy :
@𝔽𝕊𝔽.𝔸𝔼ℙ
2026-09-16 08:22:26
0
.tomyboi
Tommy :
@ᴋᴀᴢꜰɪʟᴍꜱ
2026-09-16 08:22:37
0
.tomyboi
Tommy :
@MG83
2026-09-16 08:22:33
0
.tomyboi
Tommy :
@Youneke
2026-09-16 08:22:30
0
.tomyboi
Tommy :
@Kyondi
2026-09-16 08:22:24
0
.tomyboi
Tommy :
@Twdedixt
2026-09-16 08:22:21
0
.tomyboi
Tommy :
@𝑷𝑼𝑳𝑺𝑬🇬🇧
2026-09-16 08:22:10
0
To see more videos from user @.tomyboi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

KADOGOSA AMWONDOA MENEJA WA TANROADS SONGWE KATIKA NAFASI YAKE. 📌  Ni kufuatia kusuasua kwa Mradi wa upanuzi wa Barabara ya forodha (OSBP) Tunduma  📌Atoa wiki mbili mkandarasi kukamilisha kazi zilizobakia Waziri wa Ujenzi, Mhe. Masanja Kadogosa, amemuondoa katika nafasi yake Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Mkoa wa Songwe Mhandisi Fredrick Mande, na kumtaka kurejea makao makuu ya TANROADS, kufuatia kushindwa kusimamia ipasavyo mradi wa ujenzi wa barabara ya Forodha - OSBP - Tunduma yenye urefu wa mita 1,675, mpakani mwa Tanzania na Zambia. Amesema hatua zaidi zinaendelea kuchukuliwa ili kumpata meneja mwingine atakayesimamia shughuli za TANROADS katika Mkoa wa Songwe. Hatua hiyo imekuja baada ya Waziri Kadogosa kutembelea na kukagua maendeleo ya mradi huo usiku wa Oktoba 15, 2026, akitekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ambaye awali alieleza kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi huo licha ya Serikali kutoa sehemu kubwa ya fedha za mradi. Mradi huo unaotekelezwa na Serikali kwa lengo la kuboresha mtiririko wa magari na mizigo katika mpaka wa Tanzania na Zambia, Kupunguza msongamano wa magari, kuongeza ufanisi wa huduma za forodha na kurahisisha huduma za biashara za kikanda umeoneshwa kusuasua licha ya kutakiwa kukamilika ifikapo Oktoba 31, 2026 kwa mujibu wa kimkataba. Aidha, Kadogosa amempa mkandarasi wa mradi huo muda wa wiki mbili kukamilisha kazi zilizobaki, huku akiahidi kurejea eneo hilo ndani ya siku saba kukagua utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa na kujiridhisha kuwa kasi ya ujenzi imeongezeka. Kadhalika, Waziri huyo ametoa maelekezo kwa Mameneja wote wa TANROADS nchini kuhakikisha kila mradi wa ujenzi unasimamiwa kwa uwazi na uwajibikaji, huku akisisitiza umuhimu wa kuwepo kwa pande tatu zenye majukumu tofauti, ambazo ni msimamizi wa mradi, mkandarasi na msimamizi anayewakilisha Serikali. Waziri Kadogosa, ameonya dhidi ya hali ya wasimamizi wa miradi kuegemea maslahi ya upande mmoja, akisema mwenendo huo unaweza kudhoofisha usimamizi huru na uwajibikaji katika utekelezaji wa miradi ya Serikali. Awali Makamu wa Rais Mhe. Deogratius Ndejembi katika ziara yake, alisisitiza kuwa Serikali inatoa fedha kwa ajili ya miradi ya miundombinu kwa lengo la kuboresha maisha ya wananchi, hivyo ni wajibu wa watendaji na wakandarasi kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati na kutoa huduma iliyokusudiwa. “Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatoa fedha ili wananchi wanufaike, hivyo tunatakiwa kusimamia kazi ili fedha hizo ziongeze thamani na manufaa kwa wananchi,” alisema Ndejembi. Alieleza kuwa taarifa alizopokea zilionyesha kuwa mkandarasi alikuwa amelipwa Shilingi bilioni 4.4 kati ya Shilingi bilioni 6.8 za mkataba, sawa na zaidi ya asilimia 60 ya thamani ya mkataba. Hata hivyo, maendeleo ya ujenzi hayakuendana na kiwango cha malipo yaliyokuwa yamefanyika. #songwe #tunduma #viraltiktok  #tiktoktanzania

About