Nimepata nguvu yakuamka nikafanye kazi thank you sir
2026-10-30 22:45:14
4
dramajr84 :
Nimeamuwa kuwa Tajiri 😁
2026-11-04 09:34:06
1
tupendane❤️ :
kumbe umasikini ni kuamuwa
2026-11-01 17:11:28
3
Kambey :
CCTV pekee ndo inaweza Fanya kazi usiku na mchana
2026-09-16 11:45:02
7
fuad 46 :
mzee nikija kwako unikope pesa nianzishe baishara najua uwezi nipa hata cent kwakuwa pesa sio nyepesi.ila kutushauri kufanya kaz uck na mchana na pesa mtukope bila riba
2026-10-28 18:30:29
0
The Jackal :
Simple tu hivyo mwanetu....fresh 😂😂 ila mbinguni tutajua ukweli wote 😁😁
2026-09-16 16:17:56
4
mkâlâ 📉silva✨️ :
I was born to shine ✨️😎
2026-11-05 12:43:32
0
inno shombey :
mm nimeamua nanimesema mm najiona mkubwa sana mm nitahiri kumbe
2026-11-07 11:47:50
0
Mamen :
nimeamua kuw tajir
2026-11-02 15:23:35
1
KIYEYEU ONE ☝️ :
staki kuwa maskini 💴
2026-10-27 17:37:41
2
HARDWARE_SHOP_001 :
sio kwel ww msitak kutufanya na ss tumkufur mungu kwa mali ya dunia
2026-11-01 13:26:02
1
amos_ bujen :
baba tag jina la mganga unajieleza sana
2026-10-27 17:20:31
1
BLACKLION TYRE :
kosa kubwa la watu waliofanikiwa ni kujisifia sana na kusahau kuwa mungu kataka wafanikiwe licha ya juhud zote walizofanya
2026-10-27 21:27:08
1
Njemu :
the power of subconscious mind
2026-09-17 16:23:21
1
NNS :
Fact
2026-09-16 11:41:05
3
Al ihsan Cyber Cafe in kutulo :
ukweli
2026-10-22 18:01:21
1
millydan1 :
ameen
2026-09-22 06:11:40
0
DiaHar.. Mzaggabwoy🇹🇿 :
sahih
2026-10-29 13:32:16
0
user2435391599768 :
very true
2026-10-30 09:21:23
0
Agisha Martha :
Maamzi tu
2026-10-29 18:06:10
0
saulysabe :
Ameeeen ameeeen ameeeen Babu
2026-10-30 11:28:36
0
Mrs Edy Haroun :
Doh
2026-11-04 12:03:49
0
Ramsony shebby :
amen
2026-10-31 22:01:06
0
92TZ🇹🇿 :
tuache kidogo😂
2026-10-07 19:04:01
0
To see more videos from user @avopatips, please go to the Tikwm
homepage.