@ashmar_quotes: Kuna baadhi ya njia katika maisha utalazimika kuzipita mwenyewe; bila familia, bila marafiki, wala mtu yeyote wa kukushika mkono. Ni wewe na Mungu wako tu. Na huenda ukaja kugundua kwamba, ulipodhani uko peke yako, kumbe Allah alikuwa karibu nawe kuliko ulivyodhani. 🤲🏽 Usiogope njia ya upweke; wakati mwingine Allah anakuweka peke yako ili ujifunze kumtegemea Yeye zaidi. #fy #contentcreator #lifetips #reallife #trendingvideo @TikTok @tiktok creators