bro uko vizuri kwenye kuelewesha kinoma duh nakubal
2026-09-16 09:43:18
34
simon :
tuko pamoja . captain dupa
2026-09-16 10:31:04
25
King Azizi :
Kwahyo solution ni Nini🤔
2026-09-16 09:20:02
17
baba j :
bro nimekufuatilia kwa mda sasa, nakubali content zako lakini hi nimekuelewa zaidi na hio ndio hali halisi.
2026-09-16 11:04:10
12
Męłłømąđë :
AI ni mpango washetani
2026-09-16 18:53:30
9
lucaswalks@284 :
nimetambua kuwa nipo TikTok ambayo AI inaiongoza.
natumia simu yenye mfumo mzima wa Ai
2026-09-18 18:01:58
7
kuluthum majala :
kwani hiyo AI sio watu ndio wanaikontroo au
2026-09-16 09:57:56
7
TANZANIA :
kwani hao AI wanatumia chaja gani?🤣🤣
2026-09-16 16:43:28
7
GOLDENMAN :
kama uliangalia movie ya terminators na Real steel na I robot ndo utabiri wa maisha sahv tunayo ishi hvy hatupo Salam kbs
2026-09-16 11:43:55
6
AKILINYINGI NOEL :
hii dunia Mungu atai factory reset muda si mrefu
2026-09-16 15:12:31
6
The Great Minder_🧘🧘 :
ina maana AI inamiliki yenyew database yake😳
2026-09-16 09:34:06
5
user3039009998140 :
Nifahamisheni jamn nn kirefu cha AI
2026-09-16 18:28:29
5
:
Captain... Part2 ya pyramid of Egypt bado?
2026-09-16 09:52:55
5
Alfred Mlaki Tz :
sio tu kuajiri hata elimu ya shule haina maana tena maana wasomi watakuwa na kazi gani ya kufanya , ai inachora maramani, inachambua sheria, inaweza kuanda hesabu, kuandika projects, kutengeza website, apps nk sasa wasomi watafanya nini ambacho AI haitoweza
2026-09-16 15:45:32
4
adel key officiel ☑️ :
Sasa ivi kikosi M23 uko Congo wanaisumbuwa kikosi cha FRDC chawacongomani kupitiya drons za AI dah
2026-09-18 13:00:10
4
°✓ :
That's very true 🫡🫡
2026-09-16 14:03:34
4
United for Carrick :
yote haya tuliona kwenye movie sasa ni kwel ndo maana mimi movie uwanaangalia kwa jicho la pili
2026-09-18 06:32:18
3
njaa chanzo ni tamaa :
terminator itakua kweli
2026-09-16 10:52:48
3
LBR :
AI Systems Malfunction itatumaliza.
2026-09-16 10:24:59
3
mnnume tz :
duh atari sana
2026-09-16 19:09:52
3
COLLO-MAN 🇰🇪 :
Hahaha 😂😂😂😂😂😂
2026-09-19 20:17:56
3
mxolidy dé really 🫂 :
nachoka tutapata graduation ya chuo na AI
2026-09-19 08:51:29
3
NIGHT IS DARK £ FUL OF TEROR :
ongea haraka nataka kulala
2026-09-16 13:28:27
3
soft_lips66 :
SINCE DAY ONE I HATE AI😡
2026-09-16 17:18:44
3
To see more videos from user @dallarzpage, please go to the Tikwm
homepage.