kago forex ni kama kwenda mbinguni unatangaziwa kila kukicha[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-16 10:36:14
6
Kapwani :
ukiona unatangaziwa sana kuhusu kupata hela ujue ww ndio biashara yenyewe. watu wapo kazini
2026-09-16 15:38:35
6
Mr pokas :
wanatuonesha njia ya mafanikio😂
2026-09-16 13:30:01
6
JB foundation Tz. :
tutaweza kupatana wakati mwingine, pahali pengine panapo majaaliwa yake mwenyezimungu. my dear kwaheri ya kabisa, kwaheri ya maisha , kwaheri ya kuonanaa may be just may be one day one time in one way or another we will not meet again 😂😂😂
2026-09-16 11:33:11
8
nelly🤪 :
kweli kabisa
2026-09-16 15:16:08
2
Ian :
ety me nashangaa 🤣
2026-09-16 12:30:51
3
Jofesto 🇺🇲 :
tunataka mjeee muongezeeee liquidity😀😀😀
2026-09-16 16:07:54
0
SIXG :
SEMA mwanangu una camera Kali sana saiviiii🔥🔥🔥 au niache wenge
2026-09-16 11:27:53
3
official_V Lui$⛎ :
eti wanatuekeleza namna ya kupata pesa kiurahisi😂😂
2026-09-16 14:54:12
2
KassimlimoCrs :
😂
2026-09-16 12:32:43
1
Viber-VMWFx :
Tunahitaji tuwa sweep😅😂
2026-09-16 17:24:21
0
Peter Timothy :
michezo
2026-09-16 17:22:35
0
ℂ𝔸𝕃𝔼𝔹_ ⓥ™ :
me mwenyewe sjawai ona ety mchongo wa hela unatangazwa tangazwa mmmh si siwajinga tumdwasanukia bana 😂
2026-09-16 17:20:11
0
MR UNSTOPPABLE FX :
tuache kaka
2026-09-16 16:57:04
0
said mkoya@@ :
hahah
2026-09-16 10:43:40
1
Damn :
Ukianza Forex, Bitcoin na Network Marketing lazima uwe na Mdomo wa kubonga
2026-09-16 15:25:43
0
Allech :
njia ipo
2026-09-16 16:36:38
0
Kerende Murefu :
forex ni money laundering
2026-09-16 17:53:19
0
Joseph Myamba :
Na mimi nimeanza kuwatilia shaka wazungu ivi DINI walileta kwajili ya manufa yetu kweri? au walikuwa na michongo yao
2026-09-16 15:26:36
0
Maiko Mwita :
tume washitukia
2026-09-16 09:37:22
1
To see more videos from user @kago360_, please go to the Tikwm
homepage.