@mombasatuktukhub: Tuktuks available in mombasa town fortjesus opposite bank of india #fyp #tuktukforsale #trending

Muhammad // [0713952810]
Muhammad // [0713952810]
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 16 September 2026 09:34:36 GMT
59840
2240
203
399

Music

Download

Comments

bettydesmond81
Betty Desmond :
kama kuna biashara mbaya mombasa ni hii ya tuktuk,alafu ukose ununue second hand,utalia kila siku,inafaidisha dereva,traffic officers na fundi,nilichoka nikauza yangu bei ya kutupa
2026-09-16 19:04:58
43
sweetmami73
sweetmami :
mimi nataka na ni biashara yangu ya kwanza naanza vipi na dereva naeza pata mwaminifu na kwa siku nitapata pesa ngapi
2026-09-16 10:30:20
6
mwanakamemdogo
Mwanakame Mdogomunaa :
shukran kwa kutujulisha natamani sana kuanzisha hio biashara
2026-09-16 16:49:25
5
honey79187
honey :
ku transfer logbk nani anafaa kulipa muuzaji ama mnunuzi
2026-09-16 17:07:50
1
paparazikedecosterian
Mc PapaRazzy💪 :
swali langu ni apo kwa iyo insuarance, umelipa 5k Kwa mwaka alafu huo mwaka mzima haijapaza accident Kwa mfano uwo mwaka umeisha iyo 5k uwa ndio imeenda Ivo ama mwaka unaofata ikiwa hujailipia Na ipate accident unataka itengenzwe Na quatation imekuja 20k Kwa mfano jee Ile insuarance itasimamia ama??
2026-09-16 14:17:57
2
dianapride2
DIANAPRIDE LET'S TRAVEL :
faida yake inakuja vipi kwa siku ,yaani kama nimeajiri mtu,anafaa kuniletea pesa ngapi kwa siku
2026-09-17 04:51:21
1
fondo.alphonce
Fondo Alphonce :
tuktuk 2nd hand ukiwa in good condition inaeza kua how much?
2026-09-16 16:00:47
0
blocked_me7
dan mtoto wa susan :
N unaeza jua aje tuktuk engine imefunguliwa
2026-09-17 19:09:22
2
giregeorger
Gire Ismail :
oil ni how much
2026-09-16 11:17:07
0
makorih4
Evansmakorih4 :
mimi ni mgeni kwa biashara ya tuktuk na ndo nataka kununua tuktuk but secondhand na niko na 100k
2026-09-16 13:07:20
0
chumchum282
B&B :
Kuna ya laki mbili
2026-09-16 16:07:55
0
huzzy1307
Huzzeyn Reymy Mohamed⛎ :
UKITAKA UGONJWA WA MOYO KWA BEI NAFUU NUNUA TUKTUK
2026-09-19 00:30:33
3
abby.mnyazi1
Abby Mnyazi :
ata mm nauza yangu plz
2026-09-17 04:45:47
0
unique.dp
Big Cheedy..Dp :
tuktuk sec hand utajuaje imetumika sana.?. na inaezaa fanya kazi kwa mda gni..?nisaidie aapo bro
2026-09-16 21:03:41
0
isaac42385
isaac Nchebere 776 :
vp naeza pata tuktuk ya kulipa polepole
2026-09-17 05:47:31
0
wanyasaye77
waYesu :
inspection tuktuk mpya
2026-09-17 07:21:41
0
honey79187
honey :
Na service ya piaggio diesel hua ni ngapi
2026-09-16 17:09:01
0
sweetmami73
sweetmami :
1050 ama ni elfu 10
2026-09-16 10:28:51
0
kingson_one
kingson :
Goood job bro, kindly engine ya tuktuk hufanya vipi cooling sababu engine iko nyuma si kama ya pikipiki iko mbele inafanya air cooling pikipiki ikitembea
2026-09-16 15:15:59
0
jamila.salim291
Mama Boyz :
wauza pesa ngapi
2026-09-16 15:51:37
0
willy00140
Emma willium thoya 003 :
tunaeza lipa mdogo mdogo iyo tuktuk
2026-09-16 15:27:47
0
fatma_kiragaa
fatma kiraga :
Sasa hii ndio marketing mashallah most of us tulikua hatujui thank you for this
2026-09-16 12:29:03
4
userkhartul
userkhatul :
bro ongeza reference ya fundi mzuri wa wiring. body building na servicing
2026-09-16 17:04:38
2
dogo.rama6
Dogo Rama :
Hello bro nawale ambao wanataka kujiunga na barabara na himalayas ya kwanza unaezanishauri vp
2026-09-16 12:30:59
0
festuswenger
@festuswenger :
Si heri ule ya stima basi😂
2026-09-17 01:10:47
1
To see more videos from user @mombasatuktukhub, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About