@Noely Paulo:gospel singer from Tanzania
wapendwa wa mungu nami naomba muweke kopa kwenye komonti zenu naweka sana🙏🙏🙏 na munifolo ili muendelee kunifatilia kuna wimbo wangu unaitwa #wanipenda kausikilize you tube
2026-09-16 10:31:16
1
GEE LUX COSMETICS :
2 Wakorintho 5:20
“…Tunawasihi kwa ajili ya Kristo, mpatanishwe na Mungu.”
2. Isaya 55:6–7
“Mtafuteni Bwana, maadamu anapatikana, mwiteni, maadamu yu karibu. Mtu mwovu na aache njia yake… na amrudie Bwana, naye atamrehemu.”
3. 1 Yohana 1:9
“Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.
2026-09-16 19:11:19
1
SAUTI YA MAMLAKA :
hallelujah
2026-10-03 22:06:23
0
John Msami :
ameen ameen
2026-09-16 14:07:09
0
《HOSANA NDIYE BWANA 》🔥🗻 :
Ubarikiwe sana MCHUNGAJI
2026-09-16 12:22:21
0
manimba alafath :
nataka kua kama wewe baba
2026-09-26 09:57:42
0
Elisha Daniel :
😁😁😁
2026-09-22 14:21:02
0
Min. Lenick Mgimba :
😇😇😇
2026-09-16 10:11:42
1
To see more videos from user @ufufuonauzimaministries, please go to the Tikwm
homepage.