@bbcnewsswahili: Mwanamuziki nguli kutoka Uingereza, Ed Sheeran, ameingia kwenye mjadala baada ya wasanii wote waliopangwa kutumbuiza kwenye matamasha yake kujiondoa kwenye ziara yake ya muziki nchini Marekani. Hatua hii imekuja kama ishara ya kumuunga mkono Rapa wa Marekani, Macklemore, ambaye aliondolewa kwenye ziara hiyo kufuatia kauli zake za kuunga mkono Palestina alizozitoa jukwaani. @sammyawami anaeleza mkasa mzima ulivyokuwa #bbcswahili #fyp #foryou #edsheeranconcert #palestina
viva Palestine 🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸 silence is Complicity 🙌🙌viva Palestine 🇵🇸
2026-09-16 12:32:12
1
Yusuph :
free Palestine
2026-09-16 10:41:21
8
the sigma :
free Palestines
2026-09-16 10:33:26
52
golden :
hyu ypo sawa kweli[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-09-16 10:05:18
0
mordecai :
free from where?
2026-09-16 10:49:14
5
RUFIJI+KIBITI +MAFIA+MKURANGA :
hii taalifa nimeipenda kuliko wake zangu hakika nasema free Palestine 🇵🇸
2026-09-16 10:44:40
41
Asha Mau🍃🌸 :
Dunia inaanza kuamka alhamdullilah
2026-09-16 14:13:34
11
MrsLema :
oooh jamani 🥲Mr Perfect 😊
2026-09-16 10:01:29
4
Nuru Ibrahim Chichi :
Free Free Palestine 🇵🇸
2026-09-16 12:00:26
2
hani :
gaza love❤️
2026-09-16 12:09:04
3
Abu Mujahid Amiin :
safi saana
2026-09-16 11:53:24
3
🍅𝕵𝖊𝖗𝖔𝖜𝖆𝖉𝖆🍅 :
FREE Palestine 💪
2026-09-16 10:18:37
81
Harith albusaidi :
Kwann hakukaa kimya kuhusu Ukraine?
2026-09-16 15:31:36
1
mordecai :
Free from Hezborah
2026-09-16 11:51:33
1
free palestine 🇵🇸 :
free Palestine 🇵🇸
2026-09-16 12:10:28
2
Kigoma Boy :
Free Palestine 🇵🇸💪🏽
2026-09-16 12:21:56
1
itsLeahdear💖 :
Tokea nijue ni mke wa mtu sina hamu nae mie
2026-09-16 22:07:57
0
Don-J :
Kwani ni Palestine pekee ndo watu wanakandamizwa,, Sudan maelfu ya ma mia ya watu wameuliwa na hutajawaona wakiwapigania, Ukraine, Russia, Syria, huu ni utapeli
2026-09-16 21:47:46
0
Don maphon :
free palestine
2026-09-17 03:43:45
0
Saafir :
Wasanii ni kioo cha jamii safi sanaa mabeberu wanakuaga na utu mda mwengine
2026-09-16 22:45:07
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.