kabisa keep sharing akhi[Like][Like][Like][Like][Like][Like]
2026-09-16 11:57:57
0
brother abdy :
mjomba ngoja wakuone kina abuu
2026-09-16 10:23:29
5
Abuu Mu'ad Assalafiy As Sūmãli :
Tusomeni Uislamu. Hizi akili za kufuatilia habari za dunia bila ya misingi katika DINI ndio matatizo
2026-09-16 11:43:11
1
Omar Athman :
Salute hapa mjomba umeeuwa kabisa yani umepatiya kwsma hili tuko pamoja
2026-09-16 11:20:52
1
M'bishi :
😂Hayo maandindishi ni maoni ya mtu binafsi aliye vimbiwa maharage yake ila ukweli ni kwamba Madhehebu au Dini haija sujudu na madhehebu hayajasujudu ila ni Viongozi ndio Wana Muogopa mmarekani kwa ujinga wao na maslahi yao binafsi
2026-09-16 14:09:58
0
Shidhan Madawa :
Muoman simuoni hapo
2026-09-16 16:49:43
0
kambi moto :
kwaimani
2026-09-16 13:37:25
1
LOMY Disiner :
waarabu wengi wanaiogopa marekani
2026-09-16 14:58:12
0
Mark 5 :
Niukweli hapo hio umeipatia bro Huo ndio ukweli halisi
2026-09-16 14:16:48
1
༒♛σMү♛༒ :
safisha mazingira
2026-09-16 13:53:41
1
hfaudh ally :
Picha inamajibu sahihi
2026-09-16 19:10:56
0
Ahmed Kiba :
swadakta
2026-09-16 17:42:15
0
abou Ibrahim :
Haq na na sapoti walio lainiwa
2026-09-16 20:41:43
0
DÄ SĪLVA :
Kila MTU anafaa kuhesabiwa tofauti...
2026-09-16 15:17:45
0
jaguar boy :
true
2026-09-16 10:26:21
0
ngwengwel :
kweli
2026-09-16 14:58:53
0
user41450847 :
kwanza saudia hata kama ni geopolitics amechemsha kabisaaaaaaaaa
2026-09-16 18:03:16
0
hammyommy22 :
ni ukwel mtupu kaka
2026-09-16 16:20:18
0
Mohamed zubeir Mohamed :
niukweli kabisa hao walosujudi lao kubwa ni ulimwengu na hao walosimama ni Wacha Mungu tuu si mwanadamu mwenzao.
2026-09-16 16:30:01
0
A J :
hapo naona mambo mawili... moja ni kweli hizo nchi zilizo sujudu ni sababu ya hao viongozi wao... la pili ni kuwa hii ni picha yakusambazwa kusudi na one common enemy akitumia njia yake ya kawaida ya divide and rule.. Yani mupigane wenyewe kwa wenyewe mwanzo mukiwa wanyonnge na dhaifu ndio yeye awamalize
2026-09-16 12:28:22
0
Its_me_ Rajabuhussein99 :
Upo sahihi xana tena wameongozwa na Saudi arabia
2026-09-16 23:18:02
0
za princess💖 :
aijadanganya
2026-09-16 18:24:04
0
Preso_1 :
Unao habari kwamba Houthi from Yemen Backed up by iran wameattack Makkah na madinah? Long live MBS Mohammad bin Salman 🇸🇦🇸🇦🇸🇦