@mona_uzazi: Wakati wa Mungu ukifika umefika haijalishi ni muda gani. Usikate tamaa endelea kuomba na kuamini kwamba siku moja utaenda kumpakata MTOTO wako mwenyewe na kumshukuru Mungu kwa kukupa uzao wa baraka. #mtoto #maombi #foryou #tanzaniatiktok #kenyantiktok

Dr Mona Uzazi
Dr Mona Uzazi
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 10:10:17 GMT
1079
69
2
1

Music

Download

Comments

user1182488849088
user1182488849088 :
ukimwamini mungu hakuachi ubaki kama ulivyo
2026-09-16 17:34:02
0
rosemushi62
Rose Mushi :
🙏
2026-09-16 18:09:15
0
To see more videos from user @mona_uzazi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About