na hakuna madereva wa hovyo na wavunja sheria kama hao madereva STM na STK na SU na DFP na STL na wengine polisi ndo wavunja sheria wakubw kujidai kila siku wanaharaka
2026-09-16 11:17:23
8
Des :
Madereva wa serikali wanafikiria barabara ni kwa ajili yao tu. Hawana nidhamu kabisaaa barabarani na wanajua polisi hawasimamishi magari yao. Wanaweza kukugonga hata kama uko ktk sight yako!! Hawana nidhamu kabisaa hao.
2026-09-16 11:01:29
5
quite molel♥️♥️ :
asilimia 90 hawa madereva wa serikali wanavunja sheria sana hata kwenye mataa hawasimmi
2026-09-16 13:53:53
1
Dully :
NA NDIO WAKUBWA WANAOVUNJA SHERIA NA HAWACHUKULIWI HATUA
Barabarani panahitaji nidhamu sn kwawatumiaji wote wa barabara cz ukisababisha madhara atakae letewa shida ni wewe sio Kiongozi lkn wakati mwingine wanasababisha ajali sn cz anajua asipomsikiliza kiongozi kazi hana pia
2026-09-16 11:53:09
0
Official Steve :
Hao ndio wavurugaji wakubwa barabarani.
2026-09-16 11:51:30
3
Dully :
WAO WANATAKIWA WAWE MFANO KWA RAIA
2026-09-16 11:42:23
1
𝐢𝐧𝐜𝐡𝐀𝐫𝐠𝐞 :
Mwenye bomba hakai foleni.
2026-09-16 16:07:37
0
Mo smile :
siku ukiendesha gari za serikali ndo uta juu kwann wana kuwa hivyo
2026-09-16 13:00:36
0
Meddy ban🦅 :
Kwan wa mabus huoni
2026-09-16 13:52:20
0
Rada safi :
Halafu ame mlanda marehemu Mweshimiwa Magufuli
2026-09-16 13:15:08
0
Amanexo :
Hivi hawa wanao endesha STM ,STL, STK,SU kumbe hawa nao ni wanapaswa kufata sheria ,maana mda wote tunashihudia uvunjifu tu wa sheria ,sehemu 50 limit anapita na 150 speed ,overtake milimani ,hivi kweli hawa ni watu wa Mungu ..
2026-09-16 12:31:38
0
Magulu Nnyondo :
kazi zakupeana izo na ndio wanaongoza kuongea bungengeni about dereva ..
2026-09-16 12:39:04
0
Eskey13 :
Hao ndo wapewe point ila sisi raia mtuache tumalizane huku
2026-09-16 11:46:45
0
To see more videos from user @kashera264, please go to the Tikwm
homepage.