@janethnehemia1: #tiktoktanzania🇹🇿 #viralvideo #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

janethnehemia1
janethnehemia1
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 10:28:14 GMT
7596
1023
46
22

Music

Download

Comments

userluemy31
luemy :
More blessing to you 🙏🙌🏻
2026-09-16 10:33:11
1
ngosha.family7
#OfficialHaruniStephano@@@@@@ :
my Love ❤️❤️janeth tunakupenda sanaaaa
2026-09-16 10:55:16
1
user3739450978776
vicky :
nakupenda dada Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaid
2026-09-19 18:24:58
1
amossabuzoya6
Andrew Amos🎶🎵 :
AHSANTE SANA MUNGU WANGU, Humble and Keep Going Dada Janeth Mpaka Ufike kule Mungu Amekukusudia Barikiwa sana🙏
2026-09-18 17:45:53
1
joyce.worship
Joyce Mhina :
amen
2026-10-03 17:49:42
0
jackson.mpande
🙏🙏🙏Worshipers 🙏🙏🙏 :
be blessed sana da jane 🙏🙏🙏🙏
2026-09-17 20:44:54
0
biggy.ronny
Biggy Ronny :
One day i will tell the world why i love this SONG 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-16 15:28:45
0
dulcetmelodiesministry
Dulcet melodies ministry :
barikiwa dada JN kwa ..kumpemd MUNGU na kumuabudu
2026-09-16 15:55:57
0
asingwirecomfort
asingwirecomfort :
Love you from Uganda
2026-09-29 05:48:25
0
obediwilfred
SHAMWILE💪 :
Mungu azidi kukutunza dadaangu🙏
2026-09-21 18:59:05
0
loveness9841
loveness Leonard 9841 :
Nakukubali mno 🙌 ila MUNGU awe nawewe maradufu
2026-09-19 17:02:43
0
user3109956145600
rene Steven :
niseme nini zaidi ya kumshukuru MUNGU wangu kwa ajili neema hii.mungu akubariki sanaaaaa watumishi 🙌🙌🙌
2026-09-20 19:35:12
1
thankyourojas
PASTOR THANKYOU ROJAS TZ :
Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake. Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu aangalie mambo ya wengine. Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu; tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba. Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba. Basi, wapendwa wangu, kama vile mlivyotii sikuzote, si wakati mimi nilipokuwapo tu, bali sasa zaidi sana mimi nisipokuwapo, utimizeni wokovu wenu wenyewe kwa kuogopa na kutetemeka. Kwa maana ndiye Mungu atendaye kazi ndani yenu, kutaka kwenu na kutenda kwenu, kwa kulitimiza kusudi lake jema. Yatendeni mambo yote pasipo manung'uniko wala mashindano, mpate kuwa wana wa Mungu wasio na lawama, wala udanganyifu, wasio na ila kati ya kizazi chenye ukaidi, kilichopotoka; ambao kati ya hao mnaonekana kuwa kama mianga katika ulimwengu, mkishika neno la uzima; nipate sababu ya kuona fahari katika siku ya Kristo, ya kuwa sikupiga mbio bure wala sikujitaabisha bure. Wafilipi 2:3-💪💪💪💪💪
2026-09-20 04:49:36
0
user5413776618278
Adaa🤍 :
Jeneth MUNGU akutunze tu sana moyo wako unashukrani nyingi mno na sisi twaungana na wewe kumshukuru MUNGU , unatupeleka zaidi mahali pa siri pakuzungumza na kristo kila Leo wewe umefanyika baraka hakika.
2026-09-26 06:50:31
1
mwakyusaneemadada
neema 🇹🇿 🇹🇿 :
Mungu akutunze mno we kamdada nakuloveeeee❤️❤️❤️❤️❤️
2026-09-28 09:42:54
0
drummer_boy252
Drummer boy :
unanibariki sana na huduma yako mungu aendelee kukulinda
2026-09-16 10:38:07
0
pierrealex9
Pierre Alex :
Amen 🙌🏾
2026-09-19 14:58:44
1
dorcassimoni10
dorcassimoni :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-16 16:45:52
0
salmamustapha222
salmaa🥰🥰 :
🙏🙏🙏
2026-09-16 16:03:36
1
gracekabalila1
Graky :
🥰🔥
2026-09-16 10:33:23
0
user46292695242551
Nancy regnald :
❤️❤️❤️❤️🙌🙌❤️
2026-09-16 11:43:55
0
danieburah_tz
Danie_Burah👑 :
🥰🥰
2026-09-16 12:07:49
0
glamoman_
glamoman :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-16 10:47:17
0
user8595731869494
user8595731869494 :
🙏🙏🙏
2026-09-16 10:35:32
0
becky_ndolo3
Becky Ndolo :
❤️❤️❤️
2026-09-26 07:32:59
0
To see more videos from user @janethnehemia1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About