He sent me this, thanks babe I love you than words can explain 🥰😘
2026-09-16 20:26:54
2
CHALII YA KB🔥 :
my babe
2026-09-16 16:39:29
0
ray lamby💕 :
nilipokutana na wewe kwa mara ya kwanza, sikuwahi kufikiria kuwa ningekuzoeana kukupenda kiasi hiki.kadri siku zilivyokuwa zikisonga,nilijikuta nikizidi kukuzimia taratibu bila hata kujitambua.
nakuwaza muda wote ,kuanzia ninapoamka mpaka ninapolala.kila ninapokufikiria ,ndipo ninapotambua kwamba wewe ndiye uliye uliyeushikilia ufunguo wa moyo wangu[Red heart]..
naamini kabisaaa kwamba tumeumbwa kwa ajili ya kuwa pamoja.kuona tu tabasamu lako kunaweza kubadilisha siku yangu nzima....nataka ujue kwamba sitaacha kukuchagua,na hisia zangu kwako hazitawahi kutoweka...hilo ndilo ninalokuahidi
I love you [Heartwarming][Red heart][Embarrassed]
2026-09-16 17:55:45
1
user7608853332487 :
natamani nipate wa kumwambia hivyo😏
2026-09-16 16:22:42
0
Popaa +255 TERRY BOY :
@ROSE BRAND🌹🦋 ❤️❤️
2026-09-16 19:16:50
0
🎀ASMINEE💜🌹COLLECTION 💦 :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-16 12:24:54
0
@Tiffah collection👗✂️ :
@Chuga Online Shop
2026-09-16 19:52:26
0
To see more videos from user @tundumaicon, please go to the Tikwm
homepage.