@binaupdates: Staa wa muziki wa Hip Hop kutoka Nchini Marekani Mr Cheeks ameonekana kufurahishwa na michano ya mwana Hip Hop kutoka Mbeya Tanzania @nyabinghi_daicon_unique ambaye amepewa nafasi kwenye jukwaa la miaka 30 ya muziki wa Bongo Fleva Arusha.
ukisikiriza vizuri anasikika Maalimu Nash Mc katika michano yake plus Sound woow🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-16 12:41:25
30
14 shotgun :
nyabingi mkali ila cheeks aelew kwel
n beat ndo linamp vibe
2026-09-16 13:45:27
8
RassNDOZZA90 :
brooh its a hit to ngoma bob kwa freestyl hii
2026-09-16 17:53:28
1
c.e.o poppa :
hiii imeenda isee
2026-09-16 12:35:09
0
kind :
That's seriously hard brooo
2026-09-16 19:07:22
0
Astudentoflife :
[Fire][Fire],LB4LYFE !
2026-09-16 18:10:26
0
Geofmtupori :
🔥🔥🔥🔥 NYABINGI HAAAPAA
2026-09-16 12:30:11
6
ZERONUMBER0💎✅️ :
ZERONUMBER0
2026-09-16 20:27:27
0
user142820496915 :
Mngempeleka maxcortez hapo, mmekosea sana
2026-09-16 17:43:02
1
jitu la vioo :
nash mc wa pili
2026-09-16 13:51:55
3
goldrush_barbershop_sauna :
Nyabingi anaupiga mwingi🔥
2026-09-16 14:47:36
2
sharobaro syzzco :
Wueh Bongo hip hop haipingwi walai Fid q ako wap
2026-09-16 19:01:16
1
notoro engima :
da mwanetu umepotea upo nakubali sana wanawetu 💪💪💪💪💪💪
2026-09-16 20:12:55
1
wakiselaa :
zingatia michano 👊👊
2026-09-16 13:03:03
2
Ton_fashion :
uyu jamaa🙌🙌🙌🙌 🔥🔥 IGWEEEEEEEEE UYU ANAJUA BALAAAA
2026-09-16 13:03:01
1
Final Say :
Huyu mwamba ni noma sana,Nash mc kwa mbali na Mr 2 Sugu ila aina ya beat pia imechangia ila uyeye upo sana,jamaa ni mkali sana🙏🙏🙏
2026-09-16 17:06:29
2
c.e.o poppa :
mr cheeks kajisikia yupo nyumban..
2026-09-16 12:36:36
14
mapigo boy :
jamah mkali
2026-09-16 11:30:58
1
misedua1 :
Bingwa🙋♀️
2026-09-16 19:44:55
0
Babake Samir :
Waaaah Hii Nayo imefinika Ngoma Zote za Diamond
2026-09-16 21:11:03
1
AMIRY MP JPM :
maalimu nash mc
2026-09-16 21:02:52
0
Ikram saidi :
kam nash kam shaulin,mkali
2026-09-16 22:53:55
0
Spar☄️ta :
noma🔥🔥🔥
2026-09-16 19:58:52
0
samrichard :
HUYU JAMAA AMEONGEA UKWELI MTUPU, NAKUMVUKA 2004 TULISHA ENDA CHANNEL 10 KWENYE INTEREVIEW YA KIPINDI CHA MIZIKI MOTO MOTO ILA HADI KUKUBALIWA TULIJUTA
2026-09-16 22:09:05
0
To see more videos from user @binaupdates, please go to the Tikwm
homepage.