@hubofwisdom.inc: "Unadeal na mwanamke ambaye yeye anachukua kutoka kwako, wewe unajenga lakini yeye hawezi kujenga, na anataka kuambana na wewe. Unatafuta mafanikio lakini katika mazingira mabayo ni hafifu." #MadamLeila ---- #thewisetz @hubofwisdom.inc