Kuna kusomwa QUR,ANI na kuimbwa HAPA IMESOMWA QUR,ANI 💯
2026-09-18 14:43:04
319
𝐒𝐚𝐚𝐝𝐚👑 :
yallahbi nijaalie mtoto kama huyu katika uzao wa tumbo langu
2026-09-19 15:06:21
103
Husnaty55 :
Mashallah na mmi nifanyie wepes juu ya uzazi wangu
2026-09-19 11:36:16
104
maacute :
Mashaalah ALLAH akuzidishie kheiry
2026-09-19 20:38:46
0
mwajey stylish :
Mungu niangazie na kwenye uzazi wangu
2026-09-19 16:12:33
22
Roger a :
Allah bless your
2026-09-19 15:00:01
0
user28011620280757 tipha :
mashallah allah akupe afya njema mwanangu
2026-09-18 16:34:52
99
ZammyOmmy 🌹 :
yarabih nijaalie mtoto Kam huy, Inshallah One day yes
2026-09-19 20:27:05
0
shamyrizodecuttie :
naziongonisha izi baraka namwanangu
2026-09-19 14:12:16
31
emmy❤️🔥 :
mashaallah yan sik zote nikikuta Qur-an inasomwa napita mbio ila leo nimesikiliz mpak mwish n nimerejea
2026-09-19 17:21:29
12
Nnchijora :
may Allah guide you little one
Ma Shaa Allah
2026-09-19 07:25:43
3
✨ Minnah🦋 :
mashaallah my baby boy
2026-09-18 20:33:43
2
🌺ms 🦋 favorite 🌸brown :
mpk nmehic kulia🥹, Allah nijaalie na me mtt mwenye kuhifadhi maneno yako🤲
2026-09-18 20:29:42
53
Binti Yahya.🥰 :
kuna mada. anaziwach lakin katik usomaji wake .km mtu hajui hukmu bas ataon amesom som vzr
2026-09-19 00:08:04
11
Hamidah Omary :
Maa Shaa Allah, Allah Akuhifadhi mtoto mzur
2026-09-19 11:30:01
6
user66192445627422 :
maashallh maashallah mashaallah
2026-09-19 15:58:35
1
🦋it’s tunda🍎🍏 :
Sijuw niseme nini wallah🥺🥺🥺🥺 yn mpk nimelia Allah ampe ya daraja la juu huyu kijana inshallah 🙏🙏 eeeeh yarraby usiusahau pia UZAzi wangu kuwa miungon kwa huyu mtt inshallah 🙏🙏
2026-09-19 07:54:25
22
skyner0 :
huyu mtoto 🙌🏻🙌🏻 mashallah
sijui nisemej ila Allah amuhifadhi🥰