@islamic.swahili8300:

Islamic -Swahili
Islamic -Swahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 11:28:47 GMT
272206
23170
496
2275

Music

Download

Comments

user3103612328872
¥©UÑG @ẞD¥. ÎSR@£L :
uislamu ni dini ya Mwenyezi mungu
2026-09-16 18:26:50
312
jamalabdirahman047
jamal nderitu :
tumswalie mtume Muhammad salalahu alehi wasalam
2026-09-16 18:57:33
232
abduly.salumu2
Abduly salumu :
wewe ni mtu wakulindwa kabisa mzee
2026-09-16 17:57:04
132
floooooreee
Flooooreeeee mimi :
ivi Qur'an ile ni lugha gani mnielekeze kwa upole mno
2026-09-18 05:10:37
13
jay_mooh911
Jay_mooh :
Hayaa ndio mawaidha huwa hatupewi na mashehe wengi sana na maanisha "facts za reality in life effecting us NOW" mashehe nyi ni viswa tu vya manabii na moto na pepo (sijasema ni dhambi ama ni vibaya) nasema tupeni mawaidha yatakayo tusaidia na maisha ya dunia tatizo mwatuambia sio muhimu twaswali vipi njaa.. mashehe tuvundisheni taaluma na masharti yake kidini na kudeal na changamoto za kujiendeleza kielimu ya dunia
2026-09-16 19:33:03
19
hassannand136
hassan nand :
pamoja na senegar na bukinafaso
2026-09-16 19:01:34
46
shueib0085
shueib akif :
huyu ameongea zaidi ya watu elfu ukweli mtupu
2026-09-16 16:42:38
52
vugirione
VUGIRI ONE 🇹🇿 :
Sasa twende kwenye point ya msingi.
2026-09-17 04:18:40
9
mohammed.mohammed23376
Mohammed Mohammed :
Allah akbar tujaalie tuwe miongoni mwao aliowaneemesha inshaallah
2026-09-16 18:31:56
52
sadikishabani843
Sadiki Shabani :
ewe mwenye zimungu linda uislam
2026-09-16 20:15:11
54
tenendeboy2
jumashabani201 :
Dini ya Uislam ñi ya Allah na Dini mbéle ya Allah ñi uíslam
2026-09-17 17:56:29
29
abusagar.abusagar
Abusagar Abusagar :
Mtume Muhammad s.a.w.alitumwa kwa walimwengu wote
2026-09-17 02:05:32
60
medpabl_06
@med-pabl_06 :
wangapi tunasema professor no 1 mtume Mohammad s.w🤝🤝
2026-09-20 12:13:54
10
dembwe_all_furniture_165
🔥💥DEMBWE_ALL_FUNITURE_165🔥 :
AKILI nying sana shukran jaziraa
2026-09-16 19:27:29
14
realwhitemaasai
White Maasai 😎 :
You don't need a degree to be a millionaire, you need a degree to work for a millionaire 🥺🥺
2026-09-16 19:47:30
25
allyboy16
Ally boy :
Laailahailallah Muhammad Rasoolullah ☝️☝️🕋
2026-09-17 07:14:17
17
papaaadangote
papaaadangote :
taqbiir
2026-09-17 17:43:54
8
makala9589
Shabani :
Alihamdulilah kwa kuzaliwa katika uislam
2026-09-16 19:02:42
18
ramadhanboru
Ramadhan Boru :
Jina ya sheikh please kwa monye anajua
2026-09-16 20:08:22
20
khairat.kheir
khairat Kheir :
Allahumma swali wasalim alaa nabiyina MOHAMMAD
2026-09-16 19:55:21
5
user4931243161934
user4931243161934 :
takbir
2026-09-16 18:51:28
6
r.lole
. :
wale wenye chuki na warabu skilizeni mujue km dini ya kiislam sio ya warabu bali ni ya umati Muhammad wote tumsalie Mtume wetu اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد رسول الله صلى الله عليه وسلم
2026-09-17 03:56:16
9
user2888034936622
mariachi :
Leo nimesikia neno la maana kabisa naamini huu ubaguzi kusema uislam ni dini ya waarabu utaisha
2026-09-17 11:09:58
5
twalibmohamed20
@OfficialTwalib :
Hapo kwenye Kuhifadhi Quran na kupata urahis kwenye taaluma nyingine nakuunga mkono, ushahid ninao
2026-09-18 09:16:41
5
fatmaomarahmed1
TEZE :
ongeza sauti baba hawajasikia
2026-09-16 14:44:34
8
To see more videos from user @islamic.swahili8300, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About