girl I bought mine I feel good kamgongo kamepona #wachinemachine
2026-09-16 14:27:07
33
agronomistbeny :
Washing machine nzuri bei gani na brand gani
2026-09-16 14:25:40
16
Shoma Mlosovick :
and remember quality things
2026-09-16 14:27:36
6
Mtubaki :
unanisema?
2026-09-16 14:40:06
7
cwtpya :
nunueni microwave jmn haswa sisi mabachelor unarudi unapasha tuu unakula unasuuza vyombo shwaa kulala hapo kwenye godoroo hapoo mwaka mpyaa na godoro jipyaaa๐๐๐
2026-09-16 14:22:18
27
MomBTM :
yule ndugu sasa anayependaga kusema yano nyumba yako hujamaliza umejaza mavitu ya gharama kibao, sijui nimuwekee status hii. Tukiwa tunatafuta tusisahau kuishi life is short
2026-09-17 04:28:59
5
Boss Lady :
Kuna mtu ananiambiaga washing machine inapausha nguo awez kununua ila me kuna nguo ninazo tangu 2022 na bado navaaa hazipauki ๐
2026-09-16 14:26:49
47
wendyhosea :
Hapo kwenye kufua masaa matatu jamani ๐
2026-09-16 13:37:54
7
kupendeza_products :
Kwakweli hiki swala la washing machines naona ni basic need Jumapili nimefua kuanzia asubuhi hadi jioni
2026-09-17 05:58:26
7
โฌAlmah$ :
Guys naombeni msaada wa kujua router gan nzur ๐
2026-09-16 20:54:54
5
bibierkhan526 :
haya mnielekeze washing machine kilo ngap inafua duvet
2026-09-16 18:18:20
5
Teddylove na biashara zake๐ฅป๐ฅฟ :
Si bora nyie masaa 3 mm siku nnzima
2026-09-16 19:26:52
8
Stevenmbaga58 :
Woii kumbe sio uvivu wacha ninunue tu hiyo washing machine ๐๐
2026-09-16 13:55:04
9
๐ซฃ :
TOKA ANAANZA NAMFATILIA AN ๐ฅ๐๐๐ฝ... NIMEMALIZA CHUO BADO NAJIFUNZA KUPITIA YEYE ... NIMEPATA KAZI BADO NIKO NAE ........
mafundisho yake yanaendana na series yangu ๐ ya matukio ....
All the beeeeeeest. ๐ฅณ
2026-09-16 13:54:27
20
its _me_ Gee๐๐ :
hivyo vyote nawaza kununua jamn shida ni hiyo kazi sjapata mpka sasa ivi๐ญ