@welness54: WATU WENGI WANATAMANI KUPONA KISUKARI, LAKINI HAWABADILISHI MTINDO WA MAISHA YAO. Kisukari kinahitaji nidhamu ya kila siku. Kula vyakula sahihi, kufanya mazoezi mara kwa mara, kufuatilia kiwango cha sukari kwenye damu na kufuata ushauri wa wataalamu wa afya kunaweza kusaidia kudhibiti ugonjwa na kupunguza madhara yake. 📞 Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi: +255759362871 #Kisukari #AfyaBora #DiabetesCare #GlucoseBalance #MayalaHealthCare