huu wimbo uliimbwa wakati anazikwa jiran yetu ambae aaliacha mtoto wa miez 9 huku pembeni amezikwa mtoto angu wa miez 8 kama mwezi uliopita aisee nilipiga kelele kilio cha maumivu nikimshangaa Mungu kwann kamnyanganya yule mtoto mama ake huku mimi pia nalia kuhusu mtoto angu 😣😣
2026-09-17 12:39:52
7
🇩🇲@Devvy 🇰🇪Heinz🏁 :
Mungu tusamehe makosa zetu😭🙏🙏
2026-09-16 20:17:52
6
Peter Mollel :
Cathy jamaaaaani Cathy kwann lkn kunikumbusha haya maumivuuuuuuuuuuuu?????
2026-09-17 15:52:01
1
user3599998675222 :
Amen and amen
2026-09-17 04:33:44
1
Christine lidonde :
really
2026-09-17 06:13:13
1
Francsi Damas :
🥰🥰🥰🥰asante kwa wimbo mzuri amen 😁
2026-09-16 17:35:22
7
Peter madeni :
nikisikia hii nyimbo machozi yananitoka maana ulipigwa wakati wa mazishi ya baba na mama yangu
2026-09-17 13:31:15
1
YOUNG SWAGALLA :
dada unakaa wap naomb tujuan mkatolik mwenzangu.umenkumbusha kipindi cha kwaresma.
2026-09-17 07:39:56
5
Faby Girl 💞 :
jina la wimbo
2026-09-16 14:12:44
5
Cassian Xavery :
mungu yu mwema
2026-09-17 11:27:05
0
Leonard Kusekwa :
Amen🙏🙏🙏
2026-09-16 20:58:23
1
philipo temba :
mmh polee san dadaang
2026-09-17 13:28:49
1
La vertu de la foi :
Allons avec joie dans la louange à notre Dieu 🙏🙏🙏
2026-09-17 12:25:18
1
Makobo L'or :
eh mungu wangu😭😭😭
2026-09-17 11:05:19
1
user9116373765676 :
jina la huu wimbo nisaidieni
2026-09-17 13:08:27
1
To see more videos from user @catherinemfilinge0, please go to the Tikwm
homepage.