@maishamagic_bongo: Nani mwingine kamuonea huruma Kajala? ๐ญ๐ข Na, Je, ukipewa nafasi ya kurudisha mda nyuma, utabadilisha nini kwenye maisha yako? ๐ค ๐ฅ๐ฌ Usikose kutazama #MMBAList kila Ijumaa saa 2:00 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo Ch160 #fyp #whattowatch