@miladu_tv: Ripoti fupi ya Tume ya uchunguzi inayomkabili aliekua Sheikh wa Mkoa wa Dar Es salaam Sheikh Walid Alhad Full Video ipo Youtube #babdeomiladu #miladutv #MiladuUpdates
m nilikua naangalia masikion2 sijasikia. chochote alichoongea
2026-09-16 14:40:43
48
Saada Masoud :
Nampongeza shekh Walid kwa kutohudhuria wito sababu mlihukumu kabla ya uchunguzi hata angehudhuria nini kingebadilika na hali mmeshahukumu mwani aendelee na darsa zake Mungu yupo pamoja nae
2026-09-16 14:46:58
137
autodiagnosistz :
sheikh walid aachwe SASA aendelee na KAZI yake ya darasa kusogeza dini mbele...
2026-09-16 14:16:23
113
TannaRico :
mimi sio Muislamu tena kama uislamu ndo una fitna hivi kama masheikh wanafanyiana hivyo sisi tusiojua dini itakuwaje sasa.
2026-09-16 15:31:18
17
Vicky jeremia :
Hivi mnajua watu tunavyo mpenda shekhe walid hamuwezi kutulazimisha kumpenda mwingine kuna kazi kidogo, sawa sio mkamilifu lakini tumewazoea kila siku mmatoana kwenye hicho kiti kwa kashifa mbaya mmbadilike bakwata.
2026-09-16 15:27:17
28
Allysmo :
hmmmmm
2026-09-16 14:57:40
0
Chubby :
Amefanya lamaana kuwa hakuenda sheikh Walid
2026-09-16 15:04:33
5
xhomy ramso 🔨🔨🔨🔨🪚🪚🪚🪚 :
mhhhh mtumeeee
2026-09-16 15:48:55
0
Mhifadhi Jembe :
Tunaungana na Sheikh Walid kwa kila anachokiamua.
2026-09-16 15:08:38
27
hassamrashid742 :
shekhe warid muacheni afanye kazi ya Allah
2026-09-16 14:45:31
18
M s :
eti babdeo tuulizie swali tume nikitugani
2026-09-16 15:13:41
1
Aman Dominick :
Mm mkristo ila jamaa namkubali sana …..
2026-09-16 15:51:56
8
ramadhani makombe yee :
shekhe walidi tuna mpenda mpaka kiyamaa
2026-09-16 14:37:26
82
tingeboyhaizo :
hawa bhanaa tulikaaa kimya wanaaza tena 😳😳😳😳😳😳
2026-09-16 15:00:44
10
Amiri Amour :
ripoti kama ya mzee chande. haina mashiko
2026-09-16 14:32:45
48
buddah boss :
uyu shekhe wald agombee urais tutamchagua
2026-09-16 16:07:51
9
Mam Chocolate 🇹🇿 :
kuto kujitetea ni miongoni mwa nidham nzuri sana
2026-09-16 16:39:12
5
aminasaid :
Sheikhe wetu kipenzi sheikhe WALIDI kipenzi cha waja wa Allaha bado tupo nae pamoja
2026-09-16 14:32:28
46
alawiisema :
msituletee siasa kwenye dini yakiisilam haitaki siasa mushamua kumtoa inatosha kaeni kmy hatutaki maneno maneno tena tumewachoka mwacheni shekh wetu
2026-09-16 15:15:07
8
To see more videos from user @miladu_tv, please go to the Tikwm
homepage.