Kwaiyo mimi navyo muwaza diamond nayeye ana niwaza mimi 😂
2026-10-18 00:21:33
1
Suleha_Seng'enge ♾️ :
11:11 pafect
2026-10-14 12:27:21
4
kala :
vp ukiwa unamuwaza kwa ubaya je na yy anakuwaza kwa ubaya??😂
2026-10-16 21:18:27
2
judith :
mimi niliwaza biashara nipo darasa la pili nikiwa mdogo ila mpaka sasa ivi ndio biashara mnayoifanya na mnaipenda sana
2026-09-16 16:14:51
8
furahahassani6 :
kama ginsi unavyo waza kufanya biashara ya mazao ila mtaji 😭😭 Mungu nisaidie nifanye ikikitu nacho kiwaza🧐🧐🧐
2026-09-16 15:44:08
5
amani noya :
Minipohiv 🥰
2026-09-25 19:20:31
2
enjoy33 :
Iyo ni kweli asante kaka
2026-09-16 23:07:15
2
Virgo queen ♍️ :
Mpaka nimelia 😩
2026-09-22 15:56:41
2
Digital Import Skills Academy :
powerful 💯
2026-09-16 18:23:15
2
Phide chupi kunoga :
Nikweli kabisa kaka😁 namshukuru MUNGU sana kuna kipindi nilikua nakosa usingizi mimi aiii nyieee.
2026-09-16 22:56:45
2
Chioma :
nawaza nimpigie na yeye ndo anapiga it means na yeye alikuwa ananiwaza [Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-15 17:10:29
3
Asia chiru :
kama kuna ukweli kwahaya maneno basi naomba yatimie maana kunabisahara naiwaza vibaya mno yan mpka nkilala naiota najiona kabisa nkitoboa kupitia hyo
2026-09-16 14:10:03
3
Omofia Kwenu :
Kevin.
hua sina kawida ya ku Comment. ila ktk hili.. naweza kusema ni hakika.. muda mrefu nilikua na fikra na maneno ndani yangu kua biashara nzur kwng ni Ice cream na ikawa naishi mtandaoni kuifatilia.. na kweli leo ilifika muda nikaamua kuthubutu na sasa nimeanza vyema
oy rudisha bas gari langu kuna sehem nataka niende
2026-10-13 12:40:59
1
rayner_china :
Kabisa tena asilimia nyingi mno biashara unawaza kila siku
2026-10-14 08:07:02
1
kinyange collection&cash point :
hapo kwenye kitu cha kufanya ukiwaza nikwel kwa asilimia mia niliwaz kitu mwaka mzima siku nikaanza yaan kama utan kelvin 🙏🙏🙏
2026-09-16 19:10:35
2
Nolas Nails designer :
si kweli kbsa
2026-10-01 13:06:13
0
sherry nyange :
na Mimi hii biashara ndo nipo nayo niliiwaza Toka kitambo Tena nilikuwa nikikuta naitazama Tena namuuliza maswali muhusika ata mtaji sina Wala ata mpango wa kupata wa ela sina lkn nilikuwa na Imani tu
2026-10-14 08:46:08
1
Jacqueline 🥰❤️ :
kwel kabisaa
2026-10-14 18:59:49
1
To see more videos from user @kelvinkibenje_, please go to the Tikwm
homepage.