@niccollasy: 😂😂😂😂😂kuna watu watadhani ni Masiala😂😂🙌🏻#tiktoktanzania🇹🇿 #goviral #tiktokkenya🇰🇪

niccollasy✝️🐶
niccollasy✝️🐶
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 14:05:47 GMT
104026
9971
316
501

Music

Download

Comments

noxpox56
noxpox :
kifupi ndugu upande wa BABA
2026-09-16 15:07:32
80
myna529
babyD🥰❤️ :
😄😄😄nliolewa shangazi akaficha barua ya posa🙌🙌
2026-09-17 10:15:10
40
elina.outfit0
Elina Outfit💃🏼👗 :
😅😅 nikikumbuka na mimi ni shangazi wa watoto wa Kakaangu tena upande wa Baba nachoka kabisa
2026-09-16 15:26:20
41
alleyasmith
alley a smith :
hii direct status😂😂😂
2026-09-19 16:25:09
0
aloycetalagula
ALOYCE :
ambao hatukubali kuwa mjomba hakasiliki ukijenga tujuane hapa
2026-09-17 13:31:04
21
nunurz
Joan -Collections :
Wajomba unawaone😁😁😁
2026-09-18 07:29:02
1
moenlic
Moen‼️ :
always mkuu wa majeshi[Tears of joy]
2026-09-16 14:14:37
29
tinson.440.og
Tinson 440.og. 🇹🇿 :
kwaa nn lkn shangaz na mjomb😂
2026-09-16 14:43:08
27
rockceerkid
Rock_Ceer_Kid :
no 3 mm mkinipa cheo naua wote😂
2026-09-16 14:15:05
7
brokensoul1704
@broken soul💔 :
Me ndo huyo mjomba sasa😂😂
2026-09-16 16:35:00
2
francecc32
Chariton 🪖🇹🇿 :
mkuu wa majeshi ndo uvae jezi yetu ya Simba😁🤣👐
2026-09-17 06:54:51
2
doreenlyimo1
Doreen⭐ :
wakuuu wamajeshi 😂😂NI kweli kabisaaa
2026-09-16 14:51:08
12
user3465877071361
Big_brother👋 :
Nifanyie hii Ndugu wakisia umepata kaz na mshahara 7K. pls Tag me🙏
2026-09-16 14:13:27
9
najmapeter266
🎀katoto🐣nana❤️ :
leoo nmekuwa wa kwanz mkuu wa majeshi😅
2026-09-16 14:10:02
8
loveness.joseph91
loveness cosmetics 💄💞💋 :
kwann lakin shangaz na mjomba😂😂😂😂😂
2026-09-16 15:37:35
2
kariakoocheapelectronics
Its~~cynthia🥀🍂 :
ila we kaka unajua kunipa raha😂😂😂
2026-09-16 16:16:13
3
user24968326167923
Dompo mc :
kwann hapo kwa mjomba na shangazi umevaa jezi ya Simba inamaamisha nin nijibu please 🤣🤣
2026-09-19 10:26:18
1
maclinah76
Maclinah 🥰🥰 :
Namba tatu ongeza baba mdogo na mama mkubwa
2026-09-16 15:33:58
1
chepamasengo
chepamasengo :
namimi nikizeeka nitaitwa mchawi mbona nachoka mimi😂😂😂
2026-09-17 19:05:47
1
king_nsangilaii
Nsangila II 🌟🏆 :
Hapo kwa mashangazi ulivyoweka na jezi ya kolo ndo umeua kabisa
2026-09-16 14:21:47
3
arafat_omari
Arafati Arafati Official🏅 :
mi ngoja tu leo nikuFollow mana akuna namna😅😂🤣
2026-09-17 07:05:17
1
julian69836
julian :
jamani ata kama ndo.utuwangie na jezi ya simba??
2026-09-16 14:16:33
0
user61614248150417
ronny king 45 :
uhakika familia 🤣🤣
2026-09-16 14:10:05
1
missyoriyorilove
Miss Yori ❤️ :
Ila huyu Mjomba na shangazi sijui wamekufanya nini 😂😂😂😂😂
2026-09-17 03:41:27
1
aden.vales
Aden Vales 🌊 :
Kaka ifikie hatua mkuu wa majeshi uipumzishe sasa🙌🙌🙌🙌 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-16 14:37:28
1
To see more videos from user @niccollasy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About