@kwaundani: AI inaendelea kukua kwa kasi ambayo haijawahi kuonekana. Lakini je, teknolojia hii inaweza kufikia hatua ya kuwa tishio kwa maisha ya binadamu? Mtafiti Jacob Coxon ameonya kuhusu hatari ya AI na kile anachodai kuwa hofu iliyopo ndani ya kampuni zinazotengeneza teknolojia hii. Katika video hii tunaangalia: AI inaweza kuwa hatari kiasi gani? Kwa nini kampuni zinaendelea kujenga AI licha ya hatari zinazotajwa? AI Race ni nini? Je, wataalamu wanaamini AI inaweza kusababisha kutoweka kwa binadamu? Na kama AI itakuwa hatari, tutaweza kuisimamisha? KWAUNDANI — Simulizi za kina kuhusu AI, historia, sayansi, Afrika na mambo ambayo hayasemwi sana. 🔔 Subscribe na uwashe notifications kwa simulizi zaidi. powered by @learnersbookshop_tz script @hamphreybmsangi presenter @maryam_faki5 #KWAUNDANI #AI #ArtificialIntelligence #AIFacts #Technology #Future #AIThreat #ArtificialIntelligence

KWAUNDANI
KWAUNDANI
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 14:15:16 GMT
1658
81
2
3

Music

Download

Comments

salmaaflica
salma Africa 🇹🇿 :
😳😳😳
2026-09-16 14:33:07
0
asate.lui.mlrel
ASATE LUI MlRE :
🥰🥰🥰
2026-09-17 03:56:25
0
To see more videos from user @kwaundani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About