@hubofwisdom.inc: "Kwanza unahisi kama vile watu wanajua kwamba hauna hela, kuna namna unakuwa unaona watu wanajida, wanajionesha. Unaona kama vile unanyanyaswa namna flani." Anasema mheshimiwa Dr. Joel Nanuka akifundisha kuhusu namna ya kuufikia uhuru wa kifedha "Usipokuwa na hela unakuwa na stress nyingi sana." Uhuru wa kifedha unaanza na maarifa uelewa sahihi, nidhamu na maamuzi bora ya kifedha 💰 Joel Nanauka anaeleza kwa kina njia muhimu za kuelekea kwenye uhuru wa kifedha na namna unavyoweza kuanza kubadilisha mtazamo wako kuhusu pesa, kipato, matumizi, uwekezaji na kujenga utajiri. Session Credits: Let's Talk Finance -------------------------- Tunathamini maoni yako, tuandikie kwenye comment section au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti; www.hubofwisdom.com/media #FinancialFreedom #UhuruWaKifedha #DrJoelNanauka #thewisetz #MoneyMindset