@hiphop_neverdie73: Nikki mbishi atia sifa za mtu Genius, point kubwa aliyoengelea ni asilimia kubwa watu wenye upeo special yani genius huwa ndo wanaongea sana kwani wanahisi kuna vingi hawajamaliza...!! : : #viraltiktok #tiktokviral #viral_video #trendingvideo #kenyantiktok🇰🇪