big nooo, TCRA tayari wameweka keywords ambazo zinakuwa automatically screen as spam na zinaenda spam folder hutazipata...ndio maana wanajaribu words tofauti.
2026-09-16 16:04:55
123
EDWARD A.M.M :
Matapeli wanakosea herufi kwa makusudi kwa sababu kuu mbili:
kukwepa mifumo ya ulinzi ya mitandao (filters) na kuchuja waathirika wajinga au wepesi kudanganyika (vulnerable targets). Njia hii inawasaidia kufanikisha utapeli wao bila ujumbe wao kuzuiliwa njiani na mamlaka kama TCRA.
Kwanza kabisa, mifumo ya kompyuta ya mitandao ya simu inasoma maneno sahihi. Mfumo ukiona neno "TUMA" au "PESA" kutoka kwa namba ya mtu binafsi kwenda kwa watu wengi, unazuia ujumbe huo moja kwa moja na kuuandika kama spam. Matapeli wanajua hili, hivyo wanakosea herufi kwa kuandika "tum4" au "p3sa" kwa sababu binadamu atasoma na kuelewa maana yake, lakini mfumo wa kompyuta utaona kama ni neno jipya lisilo na makosa na kuruhusu SMS hiyo ipite.
Pili ndo kama unavyosema hapo, kukosea huku ni chujio la kisaikolojia. Matapeli hawataki kupoteza muda kuongea na mtu mwerevu ambaye atashtuka katikati ya mchezo. Mtu anayeona ujumbe una makosa mengi ya herufi lakini bado akauamini na kutuma pesa, ana uwezekano mkubwa sana wa kudanganyika kwa urahisi hadi mwisho wa utapeli huo.
2026-09-16 16:55:41
95
Madam Dianna :
Wew ulijuaje kaka angu
2026-09-16 15:27:05
50
From your Contacts :
Leo umeenda chaka vibaya mno,wanafanya hivyo kubypass filter ambazo zimewekwa na Tcra au network providers
2026-09-17 13:00:14
26
Vin X5 :
tunakutafuta utuambie we umejuaje!
2026-09-16 21:46:54
32
Elly■○● :
hamna broo fwatila vizuri hiyo Wana fanya ivyo ili wasi kamatwe saiz Kuna maneno kabisa yapo tracking kwamfano uki tuma neno " tuma kwa namba hii" ili neno ukilituma kama lilivyo linakuja na ujumbe wa "epuka matapateli" kwa mtu unae mtumia 😅😅🤣
2026-09-16 20:59:38
23
Mi bae :
Kutoka udaktar mpka kuchambua matapeli😂
2026-09-16 17:10:57
9
WitneyFrank :
nimerudi kuangalia msgs😂
2026-09-16 16:15:52
12
Dully :
Leo hapa umechemka. Ni Mtandao automatically una Filter out Spam message. Km uamini tuma sms kwa mtu mwambie utanitumie pesa kwemye Airtel Money hio sms Airtel Money ukituma haiendi (Airtel user)
2026-09-17 10:45:05
10
Mr emoji 😇 :
Usitoke na dem wa chief
2026-09-16 15:03:13
5
Opobbo ✔ :
[sticker]
2026-09-25 22:29:02
2
heinciour.. :
umejuaje
2026-09-16 15:04:31
24
SELEMANI AMANI MPANDA :
Sio kweli kaka, japo umetoa maelezo mengiiiiii hahaha. Kuna baadhi ya maneno yamekuwa saved by either network operator au Authority ie TCRA as sparm sms isiende sasa ili iende ndo maana wanapindisha, MIMI NAONA TUENDELEE TU HEALTH TIPS[Laughing]
2026-09-17 19:00:42
3
salome kibona :
hapo hapana doctor
tuelezee tu kuhusu afya
2026-09-26 10:04:50
1
Muba :
sio hivyo Mifumo ya mitandao ya simu Ina Mfumo wa ku detected kama sms unayotuma ni ya utapeli. system zimepewa sample ya sms za utapeli so Zina block automatic hivyo sikuhizi wamebadili mbinu sms zinaonekana kama halisi mfano sms fupi "jina litakuja Hamis" hii mfumo unairuhusu
2026-09-17 14:33:43
1
user4084567284619 :
kingine mkienda kwenye ma hotel haya msiandike namba zenu sahihi manake wenye ma gest wanauza namba zetu hata walinzi kwenye ma ofisi wanauza namba zetu
2026-09-16 19:20:59
1
masterpiece🦋 :
Unamaanisha wanaotapeliwa ni wajinga😭😂
2026-09-17 02:46:05
3
iamvannie_sk :
hawa jamaa wakinotumia basi huwa hawaachi nafasi
2026-09-17 18:27:06
1
Ahmed :
so kweli niulzieni mm
2026-09-16 16:35:11
2
🌹 🌺 🍓 :
kwa hiyo mi azonto
2026-09-16 23:11:24
0
Ivonne 🦋💖💕 :
Umejuaje mwanetu
2026-09-16 22:00:28
1
robbieking99 :
UMEJUAJE BRO?
2026-09-17 16:03:49
3
Jupitar :
haujui kuna watu tunapokea simu tunajifanya wabibi😂😂
2026-09-16 15:09:12
4
StanslausLambart (Mkutubi26) :
Sababu kuu ni kukwepa keywords. Ndio maana hata ukijaribu kutuma sms ya Muamala huwa ina FAIL kwa sababu ya kuchujwa hizo keywords.
2026-09-17 13:32:21
2
Robot :
Kweli kabisaa
2026-09-19 21:15:26
1
To see more videos from user @doctornoel, please go to the Tikwm
homepage.