@jifunzesheria: Ishu ya John Heche na Wakili wa serikali Katuga juu ya Suala la Cross Examination #viral #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #jifunzesheria

Jifunze Sheria✍️
Jifunze Sheria✍️
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 15:05:23 GMT
132182
7812
268
278

Music

Download

Comments

my_is_my_name922
MY is my name% 🇹🇿 :
Chadema issue ishakuwa deep[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-17 06:25:53
0
rainhardb7
Rainhardb7 :
😅 leading qns ndo yes or no aya bhn
2026-09-17 00:05:05
1
bindawood.02
faba bin dawood :
mpk sasa KATUGA NI Men of the Match [Fire][Fire][Fire][Fire][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-16 21:30:52
3
user5286821234170
user5286821234170 :
fanyeni mambo yenu lakini msije kuniita kuwa shahidi mm😳😳😳
2026-09-16 19:20:35
48
shabani_ngeruko9th
shabani ngeruko :
Kazi nzuri sana learned Brother👏, Atajiskia vizuri sana Dr. Msuya akiiona hii Post...[Fire][Fire][Fire]
2026-09-16 23:50:17
3
user7035851838335
smart boy 06 :
katuga atawasumbua sn ni hatari mpaka heche kaombewa kupumzika unafanya masihara
2026-09-16 20:07:18
38
smile_car_accessories
mikel :
kaka siji kuwa shaidi
2026-09-16 17:58:57
75
digger26.0
Digger26.06 :
Me nataka kujua labda kwann wanauliza vitu ambavyo havihusiani na kesi au ndo sheria inataka hivyo
2026-09-16 19:53:07
75
dickie.ruge
Rugemalila :
hajachoka kwa sababu ya maswali, hudhulia mahakamani ndo ujue uhalisia, panachosha na kuboa hasa ikifika upande wa jamhuli kutoa hoja, kwanza wanaongea sauti ya chini na hoja za hovyo na wanajua wanalindwa hapo alipo kachoka na mambo yanakera japo haina budi kukubali gharama ya misimamo yao. sina chama ili kiukweli hii nchi inahitaji mabadiriko makubwa sana na lazima tulipie gharama hasa sisi vijana
2026-09-16 21:49:41
53
butaga1605
BUTAGA Mussa Boniface :
kwahali hio mm na siasa naachana leo maana naona kabisa nikipewa kesi ya uhaini wataninyonga siku hiyohiyo
2026-09-16 21:11:24
13
ochuh77
𝐎𝐜𝐡𝐮𝐡77🇴🇲 :
Sasa ndo nimeelewa kwanini jela wengi ni wasiokuwa na hatia kwa hali hi naweza kukutwa na hatia hata kwa kitu nisichokijua😂😂😂
2026-09-16 21:48:44
11
monatiktok.com4
Rick :
Maswali yakatuga yanahusiana nini na kes yauhaini HECHE Nampa bigap kwa majibu yake Yuko saw
2026-09-17 04:34:57
13
nessystore8
bestie💪 :
sitawahi kuwa shahidi🙌🙌
2026-09-16 20:50:01
6
wilsonkaseha
Wilson Kaseha :
perfect
2026-09-17 04:20:30
0
shabani_store
SHABANI STORE :
Nimesoma comment zote
2026-09-17 00:38:04
1
user42113992980482
Rony :
hata huyo katuga ni vile tu yupo upande wa jamhuri hana lolote😊😊😊
2026-09-17 05:38:50
8
erwin9rommel
Erwin Rommel :
cross examination hainaga mbabe,oyaa usiombe. sa subirini wakuu wa vyombo vya usalama wakianza kufanyiwa C.E na Lissu
2026-09-17 04:51:03
18
midwife_phd
CFE :
Hata niwe na ushahidi wa picha, voice na video "SIKUWEPO NA SIJUI KITU WOWOTE"😂
2026-09-16 23:56:20
9
sam.mallya3
Giantpoultryfarming :
Serikali wakiamua kucheza na akili yako watakubaruza sanaaaaa. Lisu peke yake ndo ameweza kuwabaruza kwenye hoja na point za msingi ilihali tayar Yuko ndani...Ila Heche kiukweli ana ujasiri akiongea na wananchi tu huku mtaani Ila lile jengo haliweziiii
2026-09-17 05:39:07
5
kibao.jumbe
Kibao Jumbe :
ndio maana Heche kutoka mahakamani anasema kesi ya lisu na magari yake yanausu nini
2026-09-16 20:27:29
10
samah_serum
samah_serum :
😂😂😂 chadema wamepoteana wamechanganyikiwa na kuchanganyana
2026-09-17 03:32:45
5
user5505140461685
@promax✨ :
ila shahidi au mashahidi 😁
2026-09-16 21:28:25
8
bin_seyyid
️ :
heche hakujua nn kinafuata watu washajipanga watu wana evidence 😂 anatia huruma tu end of the day
2026-09-16 21:58:02
6
urocke23
urocke23 :
Wanachokifanya nikukupanikisha katika mahojiano ukiwa na hasira hautaweza kuongea point
2026-09-16 20:54:08
11
being_ppk
being_ppk :
Nimeelewa jmn
2026-09-16 21:13:58
5
To see more videos from user @jifunzesheria, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About