@its_hajoh: See you 🎀 #hajohnewchapter #hometips4everyone #elimuyaleo

It’s _hajoh🎀
It’s _hajoh🎀
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 15:29:55 GMT
33423
634
42
113

Music

Download

Comments

mrsgift16
God’daughter ✌️🤞🙏✔️ :
Kwanini nisi ku follow dear naona nitajifunza mengi
2026-09-26 21:13:21
1
mhengastore
Mhengastore :
iyo vacum sealer naipataje na n gharama gan?
2026-09-26 20:01:06
1
beatrice_nasari
beatrice__ :
Siri nyingine ni kuhifadhi maharage na supu yake yasiwe makavu hivyo kila mfuko weka supu uliyochemshia na ukitaka kuunga yaache yayeyuke kabisa barafu ndio uunge yatakua matamu kama umetoka kuchemsha hayatapondeka
2026-09-18 06:43:46
16
kikis_bakery112
kiki's Bakery 🧁 :
me natumia zip bag🥰... vp apo mwanetu
2026-09-17 06:00:14
2
magda95117
MK :
Ila hufai kuweka yakiwa na moto kwenye freezer bags
2026-09-21 10:01:05
2
gloryr30
G_O HOME STORE 🌹 :
pia hakikisha unachemshia na chumvi
2026-09-27 11:12:32
0
mambuo20
mambuo20 :
hiyo mifuko inapatikana wapi
2026-09-20 13:02:43
1
michellesaronga
michellesaronga :
mimi nahifadhi kwenye zip bag yanakaa mwezi yakiwa na Ladha yake nikichemsha naweka chumvi na mafuta tu nayahifadhi yakiwa makavu ila nikiweka kwenye mfuko natoa hewa yote ndo nafunga
2026-09-24 16:59:28
2
rosie969
Rosie :
napata wapi mifuko ya vacum sealer
2026-09-17 18:01:45
1
sarbaby54
safari wear :
alafu unaweka kwenye friza u agandisha au unafanyaje
2026-09-19 18:32:55
1
kgdesolver7
Kgdesolver :
mnaweka kwenye fridge au hvyohvyo
2026-09-26 13:14:14
0
mkorintho4
Mkorintho :
Hiyo mifuko inapatikana wapi
2026-09-26 12:16:26
1
decute922
De cute🦋💞 :
🥰🥰🥰
2026-09-16 18:40:46
1
pastor.steve01
PASTOR STEVE :
🔥🔥
2026-09-16 18:44:07
1
neemaurio419
Neema Urio419 :
@Happiekidoti ❤️
2026-09-26 18:53:41
1
To see more videos from user @its_hajoh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About