yan unaonj mpak maji ili kujua je yanafaa kw mchuzi na huo moto unaonjwa ili kujua je unawak vizuri . Mpak tuolew nd tutapuguza kuonj onja
2026-09-18 13:51:14
3
r@hm@ :
mh jaman nilienda ukwen familia watu 27 siku ya kwanza nikaambiwa nipike nisha zoea kwetu wali kilo1 na nusu tu ukwen sasa sufulia nikiingia ukinifunika sionekan nikapika madida aibu yake sikula nikasema naumwa chumbani kwangu ata kupakua sikupakua
2026-09-19 06:19:09
1
Sakina Amlani :
mbavu zangu mimi🤣🤣🤣
2026-09-17 00:18:03
2
halma ❣️wakay :
kabxa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-22 13:54:25
0
Dogo Benso Albogast :
ahahaha
2026-09-16 18:41:27
0
To see more videos from user @wakishuamtale6740, please go to the Tikwm
homepage.