@mohamedhafidh_tz: Bachelor of Science in Information Technology with Business Analytics IT, Business au Data? 🤔 BSc Information Technology with Business Analytics ni degree inayochanganya Information Technology, Business na Data Analytics. Kwenye video hii tunaichambua degree hii kwa lugha rahisi: utajifunza nini, skills gani utajenga, unaweza kuelekea kwenye career zipi, AI inaingiaje kwenye field hii, na muhimu zaidi - ni mtu wa aina gani anayefaa kuichagua? Tutagusa Programming, Databases, Data Analytics, Business Intelligence, AI, Information Systems, Business Processes na Decision Making. Kama unapenda Technology lakini pia una interest na Business na Data, video hii itakusaidia kuielewa vizuri zaidi kabla ya kufanya uamuzi. 📌 Hii ni sehemu ya playlist ya kuchambua Degree za Technology na Digital Fields. Subscribe na fuatilia video zinazofuata. Usichague programme kwa kusikia jina lake. Ichague baada ya kuielewa. #university #fypシ #degreeprograms #mohamedhafidh_tz #teknolojia

Mohamed Hafidh
Mohamed Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 15:51:20 GMT
8483
362
31
13

Music

Download

Comments

lovenessmwakalinga
YOLVENY Mwaisa :
nam naomba link ya whatsap mr
2026-10-09 06:38:30
2
aziaryadam
Aziary Adam :
nisaidie jinsi ya kusoma cybersecurity kwa certificate
2026-10-20 07:28:24
1
sammy_de_breezy47
SAMMY DE BREEZY :
hii ya moto... iko powa sna 🙌
2026-09-16 19:42:04
2
expert2266
user888117277638 :
hyo guide book mbn mm ciipat bro heb naomb unifosie bas km hutajal
2026-09-23 15:51:10
1
sayyid_khamis
Sayyid :
kaka, course hii inapatikana chuo gan?.
2026-11-01 19:33:34
1
baba.d54
baba D :
mkuu naomba link ya WhatsApp
2026-09-26 15:06:45
1
user1679443760088
user1679443760088 :
bro namba yako ya wasapp
2026-11-11 15:09:15
0
skytar347
Skytar SK :
Business IT imekaa vizuri kwa upande wangu na inakuwaje kwa ss ambao tunao tukea 4m4 na tunataka kujiunga diploma???
2026-09-20 18:28:06
1
sindanokalu
Sindano Kalu :
Mwl.Naomba elezea na Bachelor of IT Application and Management, ambazo zipo Mzumbe na Suza pekee, hilo neno Application linalenga maeneo gani, na kazi anazoweza kufanya aliyesoma BBIT au BITA?
2026-10-23 11:56:08
0
user5663349163084
loreen :
fanya moja ya computer science ya hivi tuelewe
2026-10-05 02:51:27
0
denny_c_
denny-c :
guide
2026-10-19 22:40:30
1
bragaduz8
Bragaduz :
me napenda san masuala mazima ya hacking lakini ni shindwa kuchagua kati ya hizi mbili ya BSc Cyber Security & Digital Forensic Engineering na kozi ya BSc Computer Network & Information Security Engineering
2026-09-24 08:09:23
0
samzilla32
Samzilla :
naomba link
2026-11-02 18:26:21
0
feilasuf
F E I S A L Y :
noted
2026-09-23 10:59:38
1
br_vamelan
Br_vamelan :
niunge
2026-10-01 11:17:35
0
fredjohn327
BOB quotes :
niunge kwenye group ra wathap kaka
2026-09-18 12:52:23
1
sindanokalu
Sindano Kalu :
Anayesoma BITAM anaweza kufanya kazi atakazofanya aliyesoma BBIT au BITA?
2026-10-23 12:00:23
0
sindanokalu
Sindano Kalu :
Guide book ya BITAM, Nitaipataje? Naitaka
2026-10-23 11:58:08
0
the_great.06
The great :
🫡🫡
2026-09-17 08:38:54
2
abdulmalik.salum4
abdulmalik salum :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-05 16:32:25
0
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About