mama umemaliza,kuna watu wanapenda kushauria watu lakini wanajisahau,hii ni dunia wote tuna makosa kila mutu nakosa yake usinyoshee mutu kidole
2026-09-16 19:52:54
8
Aneth Matheo :
hakika kama ni kupeleka barua yako umeifikisha ipasavyo tumeipokea🤲🤲
2026-09-16 17:32:53
33
Ley Mos :
Mungu uturehemu
2026-09-16 16:39:56
11
uncle d :
God has blessed you with amazing voice, thank you blessing us too mom.
2026-09-17 02:00:57
0
Benn Benson :
tumepokea Mama, 🙏🙏🙏
2026-09-16 16:29:27
12
ORPHELINAT SHAMMAH BUTEMBO :
Naomba mwisho muzuri kuliko mwanzo ,Mungu nisaidie
2026-09-16 18:00:08
10
Augustin Akon. :
Mama upendo nkone nakupendaka saana unapoimba. najisikiya raha na amani moyoni mwangu. ubarikiwe Mama. DRC Congo.
2026-09-16 17:17:09
2
Baraka Antony :
mungu atupunguzie adhabu sis wenye dhambi
2026-09-17 01:03:01
2
Priscilla obby :
hakika huu ni ujumbe kutoka kwa MUNGU...pengine uliwaza nitafikisha vp huu ujumbe...roho Mt akakwambia fikisha kwa njia ya wimbo 🙏🙏🙏 accepted Mama nkone
2026-09-16 18:41:41
3
aloycejoseph :
Nimesikiliza tuu na kutubu sasahivi, asante sana kwa ukumbusho huu.
2026-09-16 19:10:23
2
ESTHER KATUNZI :
amen
2026-09-16 17:16:35
1
mamaasingile575 :
mim nakuelewa sana mama angu namim pia Mungu anisaidie niingie mbnguni🙏🙏
2026-09-16 22:57:11
1
Pastor Gidion :
MUNGU Wa Mbinguni Akubariki Sana Mtumishi wa Mungu Mama Yangu 🙏🙏🙏
2026-09-16 17:05:01
1
Joseph Benjamin :
harzi ikuneneye mema kwa message yako
2026-09-16 19:52:42
1
Chris..wabwire :
namekupenda kutoka utoto wanguam KAZI poa
2026-09-16 17:28:54
1
BetoNalyabody@🇲🇿 :
Amém 🙏
2026-09-16 17:21:10
1
Jean ngongo :
Amina
2026-09-16 17:46:46
1
JDMelody :
my momo
2026-09-16 16:52:20
0
kadege :
AMEN
2026-09-16 17:01:56
1
pendonaishikwanee :
🥰🥰mamayangu
2026-09-16 17:08:02
1
Nelly Edith :
rehema Yako tu Mungu
2026-09-16 17:23:05
1
vmoney :
amina mama
2026-09-16 17:37:54
1
Abby cute🥰 :
Amen mama
2026-09-16 17:42:26
1
baby girl ♥️♥️ :
ooh Hallelujah 🙌 anena BWANA wa majeshi 😭
2026-09-16 17:06:45
1
Yunis Kaguo :
Mungu nirehemu
2026-09-16 17:32:18
1
To see more videos from user @upendonkone, please go to the Tikwm
homepage.