@kilimoapp: PART 1 Malisho yageuka kuwa dhahabu ya kijani sokoni, hii ni fursa ambayo muitikio wake bado ni mdogo. jisajili sasa na kilimoApp bonyeza link kwenye bio sasahivi. #kilimoApp

kilimoapp
kilimoapp
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 16:21:46 GMT
6731
249
7
55

Music

Download

Comments

mahonda82
mahonda :
tunaitaji elimu maeneo tunayo
2026-09-16 21:15:13
1
grrrzzzz2345
user543097 :
Tatizo ni kwamba maeneo yenye uhitaji mkubwa ndio yenye ukame mkali kwahiyo uzalishaji wa majani ni ngumu sana, pia ukizalisha kwenye maeneo yenye maji lazima ulipie usafiri ambao ni ghali pia.
2026-09-17 05:13:35
0
denstarjoe
joe :
Tusaidie mawasiliani ya huyu mtaalam tafadhali.
2026-09-17 03:28:49
0
flynnryder2794
flynnryder2794 :
naomba mawasiliano ya huyu jamaa
2026-09-17 01:35:12
0
jumaibrahim112
jayliiy :
nimeshaanza na nipier grass ekari 3
2026-09-16 21:33:14
0
mpokidbukukuz
mpokid.bukukuz :
🔥
2026-09-17 03:12:32
0
To see more videos from user @kilimoapp, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About