@bintyjaliyah: Allah anazijua nafsi zetu kuliko tunavojijua ukiona unaomba hupati usikufuru ila Allah anajua huyu mja wangu huyu nikimpa hiki anachokitaka atapotea atakufuru Hakika Allah anampenda kila mja wake na anampa anachostahili#Subra #iman #ibadah #Usimuaminikila mtu