@millardayo_: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itaanza kuchukua hatua za kuwasajili na kuwatambua Watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mfumo wa utambulisho wa Taifa. Dkt. Mwigulu amesema hatua hiyo itamuwezesha kila Mtanzania kutambulika kuanzia hatua za mwanzo za maisha yake pamoja na kuondoa pengo lililokuwepo katika mfumo wa utambulisho kati ya Mtoto anapozaliwa na anapofikisha umri wa miaka 18. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo, Septemba 16, 2026 wakati akiwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Utambulisho Duniani, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es salaam. “Mfumo huu utasaidia kupunguza usumbufu wa kutumia nyaraka au vitambulisho vingi wakati wa kupata huduma mbalimbali, kwa kuwa taarifa muhimu za Mwananchi zitaendelea kutambulika na kuhifadhiwa katika mfumo mkuu wa Taifa wa utambuzi” amesema. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 16:35:54 GMT
84871
3698
77
177

Music

Download

Comments

www.stizzo45.com
watsaap_memes🤫🤫 :
kwani nida ndo nini
2026-09-16 18:20:56
18
hellenkimei
Hellen Kimei :
Tuna taman ila sasa office za uhamiaj wana turudisha yaan proses n nying
2026-09-16 17:54:09
29
mohanwsk7
MOHAN :
TANZANIA IS BETTER THAN EVERYTHING 🥰🥰🥰
2026-09-16 17:06:17
0
black_gal01
Black gal🌚 :
Nauza bonnet nipo Zanzibar karibun vipenz☺️😊
2026-09-16 16:41:42
15
mrambwani
MRAMBWANI :
wanataka.kuzochota hizo.hela.tuuu[Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-16 17:09:31
0
user7938377337137
N3r💫 n🦋 :
Shikamoo NIDA Sina hamu jamni na NIDA kwa jinsi nilivo pokelewa Leo🤣😂😂😂😂😂
2026-09-16 18:50:01
2
cool_beetz
coolbee👑 :
Ili mjee kuibia kuraa 2030
2026-09-16 17:13:28
7
missmungure
Miss Mungure 💖🔥 :
tunatamani vitambulisho vetu sn lkn wanaturudishia getini eti nenda utaitwa jmn jmn
2026-09-16 17:08:07
9
heron27233
@heron :
asee kwenye ofisi zao sasa aah wanajisikia sana kutoa huduma
2026-09-16 17:41:52
5
ishatz4
@isha :
Sasa kwa mfano me npo dar NIDA niliandisha bukoba tapata wapi kitambulisho na kule nilihama
2026-09-16 19:39:37
0
ngyekyeicon
NGYEKYE👀ICON🙌ViPAJI💫💫 :
mm sina chkchote mzee kafalik mama ana nida namba 2 mpaka sielew napataje
2026-09-16 16:53:48
0
neema.benjameen
neema B❤ :
me bad sijakua na sjitabui 😏😂😂
2026-09-16 20:45:01
0
user8165335802963
spe gyal🦋🔒 :
wanaofany kazi nida wana2katisha tamaa tok 2025 mpak leo
2026-09-16 20:19:31
0
streamerboy726
N!CHO🙌 :
toka mwezi wa 11 mpk leo sijapata taarifa kam kitambulish kimetok
2026-09-16 17:59:17
2
medichadeskato867
miness :
mbona ss tuna miaka mingi kadi wanatwambia Amna hazijatoka
2026-09-16 20:34:48
0
mtotowamama086
it's Grace 🫂💕🫀 :
wegina tunashajiadikisha nida namba tukapata ila kitambulisho bado 😳😳
2026-09-16 16:44:39
1
use0672748978
DaniLeo 0790948978 :
mkuu. tukienda tunaambiwa aditutumiwe message sasa
2026-09-16 21:10:23
0
ahalanbinsnilliy2ayus
My Mother 👩 and me call ☎️🇹✔ :
kusema ukweli nida ya tanzania bado iyo ya kawe upande wa kupiga picha vifaa au izo camera ni chache na sio nzuri kwa kweli
2026-09-16 18:30:29
1
novakhan39
NovaKhan :
Kitamburisho changu niyunzie bado niko kwa MANDERA
2026-09-16 18:39:19
0
novakhan39
NovaKhan :
Kitamburisho changu nitunzie bado niko kwa MANDERA
2026-09-16 18:40:05
0
8788venance
V classic :
asa nida prosesi ndefu adi basi
2026-09-16 22:38:44
0
jofreygazem
jofreygazem :
wanatuzungusha sana wanataka kwanza pesa
2026-09-16 19:07:44
0
tukazee.tu.mwisho
JOHNI J MHAPA :
mzeee uko safi sana
2026-09-16 19:47:46
0
yussu123
abdu@26 :
nimetafuta nida tangia 2024 mpaka hivi sasa kila nikienda naambiwa bado hakijatoka bora mubaki nacho kitawasaidia pengine mm sijitena chukueni mkutumie kwenu
2026-09-16 19:35:43
0
user5zztcru332
dadiiiiiiiiyyyyy :
ni jambo jema sana
2026-09-16 16:39:34
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About