[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]asikari ana kwambia funguo yako ipowapi iyapa afande afande ana jibu haaa[Snicker][Snicker][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-17 09:08:44
0
Gloris Ndawa :
sasa hiyo gari ikiibwa hapo zanzibar linafichwa baharini au
2026-09-16 19:47:48
14
baab :
gari zilikua mbili aina moja hapo funguo ziliingiliana jamaa hakua mwizi walimuomba samahani baada funguo hiyohiyo kufungua gari aliyotumwa aiçhukue
2026-09-16 19:26:18
16
Sir Pogora :
daaahh zanzibar bwsna!! eti mwizi juyo!!
2026-09-16 18:31:48
4
bint abbasi🥰🥰 :
wapemba
2026-09-16 18:44:32
2
joker :
Hii video ni ya zamani na huyu mtu sio mwizi, amepewa funguo zinaingiliana na hio gari
2026-09-16 18:57:50
7
seif Bausi :
na humu ndani kulikua na pesa,akisema ni 100k si tatizo ila akikwambia 100m kushasota jela.
2026-09-17 06:38:07
2
user581656560704 :
Sasa haya mambo ya kurikodi watu hivi wakati sio muhusika sio sahihi tunajibebesha jukumu
2026-09-16 19:42:32
3
allumianiam windows pvc wind :
mbona hana presha
2026-09-17 08:51:22
0
Abuubakar Humoud :
sio.mwizi uyo bhana acheni izo
2026-09-16 18:55:13
4
Salama Juma :
Engelikua kule washamdhulumu Zamani
2026-09-16 19:21:36
3
professor_diesel7 :
jamaa yupo makini sio mwizi kabisa
2026-09-16 19:34:58
1
mahfouh :
Yaani mskaji hana hatia yoyote kaazima gari jamaa kachichanganya kasema kaibiwa baadae akasema kakosea sio gari yake alafu kaomba samahani wakati kashamzazilisha mwenzake
2026-09-16 19:32:11
2
mumy_mahyra :
tumbo la uzazi linaniuma.
2026-09-16 19:28:54
1
Teatime Rapper :
Sio mwizi huyu
2026-09-16 18:46:57
1
fasco :
ndo kwen tabiya hazifanani
2026-09-16 21:09:47
1
rafayzasalum :
sio mwizi
2026-09-16 18:51:46
1
baab :
hilo tukio lilitokea miaka 5 iliyopita malindi polisi kwenye parking
2026-09-16 19:55:44
3
77 :
mm sisemi lolote apo
2026-09-17 08:53:06
0
seif hinte :
hapana hapana me nimzanziba
2026-09-17 08:24:58
0
Abuu fadhil :
hiii video ya zamani sanaa .jamaa hakua mwizi huyu .
2026-09-17 10:42:31
0
Mr Ristretto ☕️ ☕️ ☕️ :
dah nimesoma nae wallahi
2026-09-17 09:38:57
0
Emmy ❤️ :
wpi iyo
2026-09-17 12:01:07
0
handsomeman585 Alwy :
ya zamani sana
2026-09-17 10:10:13
0
MANYANZA CASH POINT :
huyo sio mwizi
2026-09-16 19:40:58
0
To see more videos from user @tahiya7204, please go to the Tikwm
homepage.