@islamic_rihla: Uanaume wa kweli unaonekana kwenye uwajibikaji, hekima, heshima na namna unavyoilinda familia yako. Simama kwenye wajibu wako, na jenga nyumba yenye amani na heshima. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH ABDULRAHAM BAKARI MHINA 🔸Fuatilia kwa mawaidha mafupi yenye kujenga imani. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #IslamicRihla #SafariYaImani #Uanaume #Ndoa #Mawaidha 🟠 FOLLOW US