hakika sis twampenda sanda braza hero hakika NI huzuni mkubwa Saba kwetu 😭😭 mola ame kupenda zaidi Molo akujaaliye kauli thabit hakika ume kuwa mwema kwakila MTU my bratha mola akupanuliye kaburi lako UWE nikatika nyumbs njema kwako ammen
2026-09-16 19:49:13
2
Twalha 🥰🥰 :
innalillah wainna ilehi rajiun Allah Akupe Kauli njema Uncle Bwanaheri Tulikupenda sana ila Allah Alikupenda zaidi 🤲😭😭