@veriafya: Akizungumza kupitia kituo cha Wasafi media, Daktari Bingwa wa Watoto, Lucas Mkeni anabainisha kuwa mojawapo ya mambo yanayoweza kuongeza hatari ya kupatwa na Saratani ya Utumbo ni ulaji wa nyama za kusindika, hasa soseji. Tuambie, wewe unakula soseji mara ngapi kwa wiki?