@bongo_media: Kutoka katika maktaba yetu ya mwaka 2021, kauli ya Harmonize kuhusu Diamond Platnumz. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, aliwahi kueleza kuwa Diamond Platnumz alimwambia kuwa hawezi kumshinda katika maeneo mbalimbali, ikiwemo uchawi, fedha na upande wa serikali. Kauli hiyo ilitolewa na Harmonize mwaka 2021, wakati akizungumzia ushindani wake na Diamond Platnumz pamoja na namna alivyokuwa akijilinganisha naye katika safari ya muziki na mafanikio.

BONGO MEDIA
BONGO MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 17:30:41 GMT
64385
2519
45
90

Music

Download

Comments

ebj.guide
EBJ GUIDE :
pole konde tupo mashabiki wako tunakupa support we ni jeshi konde
2026-09-18 09:33:12
5
harima.rajabu04
Harima Rajabu :
mbona uyo mondi angelei watu vibaya
2026-09-17 10:46:35
1
user1814830311017
martin Bizimana :
Eee na hakunasiku utamuweza
2026-09-17 09:03:20
1
jemsi.ndambo
Jemsi Ndambo :
achana nae
2026-09-17 09:28:56
3
dogo.unstoppable
Dogo unstoppable :
move on kaka
2026-09-19 05:43:42
1
issa_mjeur_26
issa_mjeur_26 :
muendelezo baba
2026-09-17 09:12:17
2
farhya.rajabu
farhya rajabu :
pole kka yet
2026-09-17 03:46:51
0
ntakirutimana.jea540
Ntakirutimana Jeanine :
Pol sn
2026-09-16 20:07:42
2
user5732113551885
amara :
weka ushahidi
2026-09-16 17:42:16
2
halfof10
Top 5 :
He brags different na nimetoka marekani sasa ivi…
2026-09-19 14:57:11
0
user6367757512049
user6367757512049 :
pole saana
2026-09-16 18:58:57
1
josephchalesy2
Joseph chalesy :
pol sana ulipitia changa mto we nijesh kwel
2026-09-19 17:19:56
0
paulina.tibahicha.p
Paulina prosper :
mung kakujalia moyo wa uvimilivu sana
2026-09-18 20:45:41
0
wardaabdallah705
Walda patel :
konde nakukubali sana dogo
2026-09-16 17:52:23
1
sixjohn09
sixte John :
kama unamkubali konde like hapo chini
2026-09-19 19:11:16
0
evajakisoni
evajakisoni :
pole konde wewe ni mtu wa tofaut
2026-09-19 09:10:10
0
bahatininiko
Bahati Niniko :
mm hapo naona diamond alikua sawa tu
2026-09-16 19:57:54
1
user8527508576618
michael py :
achan tofauti zenu, kaz iendelee
2026-09-18 18:40:29
0
mana.iqram
Mana Iqram :
pole konde wasikufanye ukaona dunia inazunguka achana nae
2026-09-17 13:09:01
0
amina.maulid3
Amina Maulid :
mi nangoja part 2
2026-09-17 12:33:00
0
renard1215631534958
m dolla🤑 :
next
2026-09-18 09:32:04
0
yohana.lukas7
yoni ngosha :
Pole san konde utaendea Insh alh washindwe
2026-09-18 17:01:39
0
user9175518255550
Sonic Donald SD8 :
big up sana umeonyexha mwanga
2026-09-18 12:57:35
0
mr.mwitikenyatta
mr.mwitikenyatta :
sasa
2026-09-18 12:50:51
0
user6681495361349
zakaria nyunja :
kwer kak
2026-09-17 04:55:23
0
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About