@jvckieseven: mwaka 2009 mwanamuziki samir kutoka morogoro alikuja na hili jiwe safi sana la kuitwa KUPENDA. ilikua ni katika time ya kusikia vichwa vipya vya waimbaji mara baada ya kuwasikiliza sana watu pori akina mc koba na ditto, hii ilikua ni zamu ya vijana wengine kusikika ambapo wakati huo tayari msanii belle 9 alikua yupo mjini akitamba na mangoma yake basi samir naye hakuwa nyuma akadondosha dude hili lililotayarishwa na producer TRISS kutoka Rocka TZ records ya morogoro ambaye pia ndo alitayarisha wimbo wa belle 9 sumu ya penzi. Kwa sasa SAMIR ameokoka na ameachana na bongoflava na amehamia kwenye nyimbo za gospel.

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 17:40:46 GMT
210017
15131
367
844

Music

Download

Comments

arsenal.man696
MUSAHI GWA BB HENRY :
only 1992 can understand that 🎵
2026-09-16 22:06:01
23
user5983933523369
dorie ♥️ :
hii ngoma nilikua naipenda sana 🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️
2026-09-17 17:43:56
31
swainatymasega
💲 swainaty masega 🇴🇲💞 :
ndio nilikua na miaka 3🥺🥺
2026-09-18 02:19:56
11
dommybabaalucky
dommy :
genz huyu ndo mbosso wetu enz hizo
2026-09-19 20:43:25
11
user70661195631852
riziki kalu :
mm nilikuwa namiaka19
2026-09-20 17:53:00
2
mamysasmiry7
sashmiry :
kali noma sana.
2026-09-20 07:21:14
2
yusuflule85
Yusuflule :
kama unateswa na mapenzi gonga like apa
2026-09-17 18:20:27
11
halima.saidy04
Mrs minuno😗😗 :
yani hi nyimbo inatoka minamwa1
2026-09-19 12:11:01
1
mbarakaathuman995
mbaraka. athuman :
nakuomba urudi kwenye gemu ya muziki
2026-09-20 09:14:24
2
emmelianpaulo
emmyliana :
kimoro moro iyo
2026-09-18 14:22:46
1
mamahisham2
Mama Hisham :
🥰 aaayy llalalala aaay lalaaa
2026-09-19 14:48:26
1
juma.ramadhan762
Juma Ramadhan254... :
NILIKUA NINEANZA KULA SIMA TAYAR😂😂🤣.MIMI WA ZAMANI🤣🤣🤣
2026-09-20 21:21:29
2
hawaamani4
Justine 🌹🥰congolaise🇨🇩 :
jamani mimi apozamani nilikuwa na zani ninyimbo ya alikiba😂😂 Ila Daah!!. 😂😂😂😂ilautoto nishida😂😂
2026-09-18 08:30:03
5
sureboymaniga0025
SURE #$ :
kitambo sana 😂😂👍👍
2026-09-18 11:14:25
2
salma.chande19
Salma Chande :
nyimbo kali aichuji
2026-09-19 10:14:20
1
bintlizyelizabeth
Bint Ezekiel :
Sijui kapotelea wap jaman
2026-09-18 17:43:37
0
james.michael1858
James Michael :
daaah🙏 kitambo nakubali
2026-09-18 18:17:13
1
mamahisham2
Mama Hisham :
mm had leo ipo vizur
2026-09-19 14:49:04
1
hamisiahungu815
hamisi :
ndo nilkuw najifunz kutongoz
2026-09-18 19:17:33
0
kamanudota
kamanu dota :
I was fom four
2026-09-19 09:56:22
1
user265293291812
darling :
napenda hiiii
2026-09-18 03:14:05
0
yustajafar
Rusta Jafary :
nikiwa darasa la kwanza jaman hii nyimbo
2026-09-18 18:53:03
1
wtinesqueen
@wtinesqueen :
zanan sana
2026-09-17 23:08:53
2
user069164577
🇯🇴R4y 💘3mm4 :
nilikue bado sijazaliwa
2026-09-19 07:19:42
1
salma.seph4
Salma Seph :
nilikuwa namiaka 8
2026-09-20 06:54:18
1
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About