oz :
hiyo ni uutukufu unamungu juu mbingunii, aamani duniani kwa watu aliowaridhia, twaakusifu, twakuhimidiii, twakutukuza, twakushukuru kwa ajili ya utukufu wako mkuu, bwana mungu mfalme wa mbinguni, mungu baba mwenyezi, e bwana mwana peeke yeesu kristo.,,,,, hpo Kam syo mu Anglican na mkatolik huwez elew utamu wa kuimba utukufu🥰
2026-09-17 11:45:01