@omarimshairi: ‎Ni nyinyi tu kuamini kwamba msimu huu Simba wanamaanisha biasharaa ya kuutaka ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara. ‎ ‎Kupata alama mbele ya Mpinzani ambaye anasifa ya kuwa bingwa maanake ni wazi asilimia kubwa Kuna Nafasi nyingi ya kuukalibia ubingwa. ‎ ‎Baada ya mda mrefuu Sana Simba kutopata matokeo mbele ya Azam kwenye uwanja wa Azam complex Leo wamevunja mwiko huo. ‎ ‎Kumuelezea Chama utamaliza tuu kamusi ya maeelezo huru kuhusu Simba na chama na Chama na Simba .. ‎ ‎Anyway ndugu zangu Azam fc ...Bado Kuna namna Bado hawajajipata Bado .. muunganiko wa timu sio mzuri hususani wakikutana na timu zenye sifa ya ubora wa wachezaji kama wao. ‎ ‎#simbasc #simbafc #azamfc #nbcpremierleague

Omari mshairi
Omari mshairi
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 18:08:19 GMT
33899
1896
37
63

Music

Download

Comments

mcheshi78
zuuuuu :
mwamba wa Lusaka mungu ampe maisha marefu aamin
2026-09-16 18:36:19
16
user2979681071406
sophia fadhili :
@😂😅Weeeèeeeeeeeee
2026-09-16 18:42:57
2
s.love.tz
S.love tz :
alafu naskia azam wanamsiba au niache kujiamulia mambo
2026-09-16 19:08:30
2
user5592544450119
Bantozi :
iyo ndoo simba ya sasa 😂😂😂😂
2026-09-16 18:46:08
3
imanueli.reemaa.m
imanueli reemaa miikaeli nasar :
kimewakuta nini tena awooooo
2026-09-16 18:58:34
2
bless.sanga5
Bless Sanga :
chama ni baba mzazi baba
2026-09-16 18:14:06
3
gladnessemma1
gladness Emma :
𝐧𝐚𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐳𝐢𝐩𝐨 𝐛𝐚𝐧𝐤🥰🥰
2026-09-16 18:42:30
2
user6952504963019
musa p chaha :
nguvu moja
2026-09-16 18:14:57
2
princessneyclassic
Mama Dee🦋🌸 :
Mtangazaji kama juma khan 😁😁
2026-09-16 19:59:40
1
user2551167581699
hancebeth :
haaaaabkaka umetisha sana azam wanamkaziaje mnyama
2026-09-16 20:04:13
0
kakakuonapitta
Mwana kabula mdogo :
simba hatar
2026-09-16 20:02:06
0
necy0037
necy :
alafu tunaomba mechi ya simba yoyote atangaze mpenja jamani maana anajua anajua tena mbaka anakeraaaa
2026-09-16 18:14:20
2
ghati.chacha7
G💋 :
speed ya libasse ndo goli la chama 🥰🥰
2026-09-16 20:19:08
0
user7334394345037
lameckpawa :
aaaah
2026-09-16 19:28:26
0
damassamson836
damasi rusogi :
sw sw
2026-09-16 18:19:26
0
faruku.juma28
Faruku Juma :
kafungwa azam ila kuna watu wanaumia kinoma😂😂😂
2026-09-16 19:47:19
0
user1669579777334
christina nyirabu💕 :
chama qnapo kua ndan ya box anakuaga na utulivu mkubwa san apo angekua mpanzu ingepaa juu
2026-09-16 23:34:09
0
dogo.key.d
DGO KEY VOO :
😁😁😁
2026-09-16 18:33:27
0
dogo.key.d
DGO KEY VOO :
😳😳😳
2026-09-16 18:33:31
0
dogo.key.d
DGO KEY VOO :
😳😳😳
2026-09-16 18:33:21
0
officialjayboy9
officialjayboy :
😂😂😂😂😂
2026-09-16 18:33:23
0
devotha421
Dcute🥰🥰 :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-16 19:41:02
0
dogo.key.d
DGO KEY VOO :
😂😂😂
2026-09-16 18:33:18
0
dogo.key.d
DGO KEY VOO :
🥰🥰🥰
2026-09-16 18:33:09
0
user1610885700704
lisah 🫰 :
🫡🫡🥰
2026-09-16 18:15:15
0
To see more videos from user @omarimshairi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About