@mkalimani.og7: Kwani baka mwenyewe yeye anasemaje huko maana mbona hatumuelewi kua yeye anatakaje kutoka kwa wenzake anao chezaga nao yani ni kama vile anasema kua mimi sitaki ulisogelee lango langu yani cheza huko uko kwako Maana yake kila mpinzani anaejalibu kutaka kusogea kwenye lango la baka basi hapo hapo ndio kitwango kinapo anzia dah! Ila baka 😃🤔 Cc: @amaniwillz
Mkalimani og
Region: TZ
Wednesday 16 September 2026 18:45:09 GMT
Music
Download
Comments
enockmbogela953 :
nashindwa kweleeewa
2026-09-16 18:48:09
15
Daniel Rweyemamu :
unajua sana kaka mpaka nacheka mwenyewe
2026-09-16 19:11:16
14
chidy :
aisee umetisha sana mzee[Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-16 20:04:07
2
paphect chikobe :
😁😁😁😁😁😁 aaaahhhh aaahhhh😁😁😁😁😁😁
2026-09-16 19:18:19
1
mr asas :
yeeeiiiii😁
2026-09-16 20:33:17
2
kumbusho Geoffrey :
ila mwanangu juma
2026-09-16 18:57:51
3
user5172198156828 :
dah nimecheka sanaaa 😂😂😂
2026-09-16 19:55:42
1
Ramadhani hilaly :
[Machozi ya furaha][Machozi ya furaha][Machozi ya furaha]nilikua nakusubilia ww tu ndo nilale
2026-09-16 20:16:40
2
Hudhayfa Abdul :
mamae
2026-09-16 20:18:31
1
bund mbadi :
mamaeee
2026-09-16 20:01:52
1
Hussein :
daah 😂😂😂
2026-09-16 19:25:54
1
8950191817 :
da umenifanya nimsamhee shemeji yako
2026-09-16 19:29:16
1
Fadhili Michael :
hahahahahah hahahahahaha aaaaaahhh
2026-09-16 20:02:00
1
Emma Athon :
saw kaka saluty kwako😂😂😂😂😂😂
2026-09-16 18:51:02
1
@JD KAMA.JD :
kama kweli😁😁😁
2026-09-16 19:15:29
2
Ivan Obadia :
😁😁😁😁unajua
2026-09-16 19:35:05
1
HB3 :
yeye anatakaje😁😁
2026-09-16 18:50:24
1
Lowaxxa Lengai :
Mkalimani og👍
2026-09-16 21:06:33
0
Nelly Cutting Tz :
😂😂😂
2026-09-17 00:01:36
0
To see more videos from user @mkalimani.og7, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.