Azam wanatimu nzuri sana tatizo kocha hawana mfano mechi ya Leo kosa kubwa alilofanya ni kuanza na kiungo mkabaji mmoja tu na ilipofika mapumziko alipaswa kuongezea himidi nguvu na hesabu kubwa ni sabu ya Sila angemtoa afu akampa nafasi yahaya zaidi au kiungo MWINGINE ili fei asogee mbele namba 10 kipre aende pembeni yeye akaendelea kucheza na kiungo mkabaji mmoja alipopata kadi ya njano ndo mchezo ulipoishia apo
2026-09-16 19:20:10
1
Manu warranty :
aya kazi ipo
2026-09-17 11:27:21
0
mama vany :
good by
2026-09-16 19:25:50
1
Martha :
aaaaaaiiiiibuuuu. naona mimi😅😅😅😅😅
2026-09-16 20:07:41
3
Zamoyonistevencare :
Haya sasa ona
2026-09-17 08:15:51
0
🥰 :
mamaaaaaa leo umekuwa muuza nini🤣🤣🤣🤣
2026-09-16 20:46:48
2
Abiy-47 :
usimalize maneno
2026-09-16 19:27:07
2
coman-msafi :
kikubwa kila tim itakutana na simba
2026-09-16 20:50:35
3
shedlove🫦 :
Jana nilikwambia mm naweka laki mbili mzee Lete hizo pesa
2026-09-16 20:05:31
2
💓💞💞HEMEDY🥀🥀🥀🕊 :
2026-09-16 19:29:10
1
maty :
Ata alipoingia angeanza na fei kama fosi namba 9 namba teni kipre afu himidi angepata usaidizi unajua nn kevoo Simba hawana kocha mzuri kimbinu kocha wa Simba hana mbinu za uchezaji uwanjani ila yeye anategemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na Simba ni
1.libase
2. mpanzu
Hawa ukiwashika simba akuna maajabu Tena
2026-09-16 19:26:34
2
Nginja :
.........Niliitunza hii clip
2026-09-16 19:06:58
2
shevar kïng :
oyaa🤣🤣 mi nawaachia nyie
2026-09-17 04:53:09
0
Dovika ollomy :
Kiko wapiiiiiiii 🦁🦁🦁🦁kakupiga pingu 2-0kula yao hilo